wazanzibari watofautiana juu ya tathmini ya Warioba

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Baadhi ya wananchi, wasomi na wanasiasa huko visiwani Zanzibar wamesema muundo wa Serikali tatu uliopendekezwa katika rasimu ya pili ya katiba utachangia kuudhofisha Muungano wa Tanzania na kuondokana na uzalendo uliodumu na kuimarika kwa miaka 50 tangu kuasisiwa kwake na hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere na marehemu Sheikh Abeid Amani Karume.source voice of america
 
Aaah wapi, too late, wameisigina katiba ya JMT na sisi Watanganyika tukaa kimya! Kama kweli waliongea hivyo ni Wanafiki wakubwa, kwa sasa serikali 3 na kurudi kwa Tanganyika ni kama pie=22/7=3.14, kwa maana haviepukiki!
 
Hata mimi mkuu nimeshindwa kuwaelewa hawa jamaa!!
 
Ofu imeanza kuwaingia, kuna watu kibao wana ajira zao bara, wkend zenjiiiii.
 
Watulie tuu kimya kwani sasa wameliamsha gogo limeanza kuporomoka kutoka mlimani. Tulisubiri bondeni tu. Tanganyika haiepukiki, bendera za Tanganyika tunazitaka kuanzia pale pale Dodoma kabla Warioba hajarudi Darisalama.
Bunge hili lipewe nafasi ya kupumzika kidogo. Lipishe lile la kuandaa katiba ya Tanganyika. Ndipo lirudi kazini kwenda kuijadili hii ya Muungano.
Jamaa waliuvunja muungano wenyewe sie Tanganyika kimyaa. Sasa wametuzindua. Wapemba wako kila mahali hapa Tanganyika, hawana hofu ya kumwagiwa tindi kali. Tutataka watuoneshe wabara waliopo kwao. Anzeni kupakia vyombo kabla kwani katika katiba ya Tanganyika, mtu mgeni haruhusiwi kuwa/kumiliki ardhi bila kuwa mzaliwa wala si muasiliwa.
 
Baadhi ya wananchi, wasomi na wanasiasa huko visiwani Zanzibar wamesema muundo wa Serikali tatu uliopendekezwa katika rasimu ya pili ya katiba utachangia kuudhofisha Muungano wa Tanzania na kuondokana na uzalendo uliodumu na kuimarika kwa miaka 50 tangu kuasisiwa kwake na hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere na marehemu Sheikh Abeid Amani Karume.source voice of america
Hayo yameshaelezwa zamani na wahafidhina wa ccm wanaopigania maslahi ya matumbo yao. mtaje ni msomi gani huyo anaetaka muungano wa serekali mbili kuendelea kama si vibaraka wa tanganyika? Stupid!
 
Watulie tuu kimya kwani sasa wameliamsha gogo limeanza kuporomoka kutoka mlimani. Tulisubiri bondeni tu. Tanganyika haiepukiki, bendera za Tanganyika tunazitaka kuanzia pale pale Dodoma kabla Warioba hajarudi Darisalama.
Bunge hili lipewe nafasi ya kupumzika kidogo. Lipishe lile la kuandaa katiba ya Tanganyika. Ndipo lirudi kazini kwenda kuijadili hii ya Muungano.
Jamaa waliuvunja muungano wenyewe sie Tanganyika kimyaa. Sasa wametuzindua. Wapemba wako kila mahali hapa Tanganyika, hawana hofu ya kumwagiwa tindi kali. Tutataka watuoneshe wabara waliopo kwao. Anzeni kupakia vyombo kabla kwani katika katiba ya Tanganyika, mtu mgeni haruhusiwi kuwa/kumiliki ardhi bila kuwa mzaliwa wala si muasiliwa.

Wacha pumba!unamtisha nani?rejesheni tanganyika yenu kwanza ndipo muanze mikelele,wazanzbr wa sasa hawaogopi vitisho vyenu,mamlaka kamili ya zanzibar ndio target yetu tokea kuanza kwa uhuni huu mwaka 1964,tunawashangaa watanganyika eti leo ndio mmekuwa na uchungu wa tanganyika yenu.
 
Baadhi ya wananchi, wasomi na wanasiasa huko visiwani Zanzibar wamesema muundo wa Serikali tatu uliopendekezwa katika rasimu ya pili ya katiba utachangia kuudhofisha Muungano wa Tanzania na kuondokana na uzalendo uliodumu na kuimarika kwa miaka 50 tangu kuasisiwa kwake na hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere na marehemu Sheikh Abeid Amani Karume.source voice of america

Halafu hawa wanaitwa WASOMI ni watu wabaya sana, ni wafitinishi,wagombanisgi na wazushi, siku zote hoja zao ukizipima kwa mizania unabaki unajiuliza hawa kweli ni wasomi au mbumbumbu? Mchango na hoja zao haukidhi haja, lakini hii yote ni kwa maslahi binafsi si kweli kwamba hawajui, ila ni upotoshaji wa makusudi huku ukwel kwenye nafsi zao wakiutambua!
 
Ofu imeanza kuwaingia, kuna watu kibao wana ajira zao bara, wkend zenjiiiii.

Punguza kulishwa kasumba,wazanzbr hawapo tanganyika pekeyake wapo popote duniani,hebu nambie hao wachina waliojazana hapo mjini je mumeungana nao?
 
Wao wakati wanandoa Katibu ya Zanzibar 1985 walitegemea nini? Waswahili wanasema ukila na kipofu usimshike mkono. Na ikipitishwa Komi Shavuot la kushoto mgeuzie na la kulia na Kisha inafuata Zamu yake nae umchape Kibao.
 
Wacha pumba!unamtisha nani?rejesheni tanganyika yenu kwanza ndipo muanze mikelele,wazanzbr wa sasa hawaogopi vitisho vyenu,mamlaka kamili ya zanzibar ndio target yetu tokea kuanza kwa uhuni huu mwaka 1964,tunawashangaa watanganyika eti leo ndio mmekuwa na uchungu wa tanganyika yenu.

Rasimu ya warioba haijaipa zenji mamlaka kamili.
Badala ya kuwa na rais wenu....sasa mtakua na waziri mkuu.
Tehtehtehtehteh...poleni.
Na ndoto zenu za kupata kiti UN zimefia hapo
 
Wacha pumba!unamtisha nani?rejesheni tanganyika yenu kwanza ndipo muanze mikelele,wazanzbr wa sasa hawaogopi vitisho vyenu,mamlaka kamili ya zanzibar ndio target yetu tokea kuanza kwa uhuni huu mwaka 1964,tunawashangaa watanganyika eti leo ndio mmekuwa na uchungu wa tanganyika yenu.

Kama ni hivyo kwa nini wasomi wametokwa na mapovu? Hamna lolote, sitaki nataka
 
Watulie tuu kimya kwani sasa wameliamsha gogo limeanza kuporomoka kutoka mlimani. Tulisubiri bondeni tu. Tanganyika haiepukiki, bendera za Tanganyika tunazitaka kuanzia pale pale Dodoma kabla Warioba hajarudi Darisalama.
Bunge hili lipewe nafasi ya kupumzika kidogo. Lipishe lile la kuandaa katiba ya Tanganyika. Ndipo lirudi kazini kwenda kuijadili hii ya Muungano.
Jamaa waliuvunja muungano wenyewe sie Tanganyika kimyaa. Sasa wametuzindua. Wapemba wako kila mahali hapa Tanganyika, hawana hofu ya kumwagiwa tindi kali. Tutataka watuoneshe wabara waliopo kwao. Anzeni kupakia vyombo kabla kwani katika katiba ya Tanganyika, mtu mgeni haruhusiwi kuwa/kumiliki ardhi bila kuwa mzaliwa wala si muasiliwa.

Kaka kwa comment yako hii inaonekana unatoka bara ya mbali hapa Tanzania,kwa taarifa yako makabila kama wazaramo,wandengereko,wandengereko,wanyamwezi wameishi zanzibar miaka mingi tu zaidi ya miaka 100 au tangu walikuwa wageni mpaka wamezaana wamekuwa wenyeji wanasonga mbele..........

Wazanzibari sio kuwa wanataka kuvunja muungano ili wakosane na ndungu zao wa Tanganyika hapana kinachotakiwa na wazanzibar mungano wa kisaisa baina ya Tanganyika na Zanzibar usiwepo lakini muungano wa kiundugu utabakia pale pale hamna atakae weza kuuvunja,kumbuka kabla huu mungano wa kisiasa ulioletwa na Karume pamoja na Nyerere watu wa mataifa haya mawili ya walikuwa wamekusha ungana kindugu,

mfano Ali Hassan Mwinyi kabla ya mapinduzi aliekuwa raisi wa Tanzania alikwenda Zanzibar kusoma Madrasa 'Kuran' lakini mwishowe amefikia kuwa raisi wa zanzibar,hii inaonyesha hakuna chuki kati ya wazanzibari na ndugu zao watanganyika isipokuwa siasa uchwara za watu wachache zimeleta chuki baina ya wazanzibari na watanganyika.....

Binafsi naona huu mungano wa Nyerere na karume bora uvunjike kwani umeleta chuki baina ya ndugu wawili,kuvunja mungano isiwe chuki Mkuu,kichukulie kama kitu cha busara.....
 
Punguza kulishwa kasumba,wazanzbr hawapo tanganyika pekeyake wapo popote duniani,hebu nambie hao wachina waliojazana hapo mjini je mumeungana nao?

usitoke nje ya mada wachina wanatumia vibari maalum kuishi tanganyika na nyie itabidi mtumie work permit au visa kama wachina mjiandae haya mambo yanakuja.
 
Mkuu CHABUSO naona unakosea sana kumfananisha mndengereko mzaramo na mnyamwezi wa bara na yule anayeatikana zenji . Mnyamwezi wa zanzibar anachoma makanisa wakati mnyamwezi wa bara hafanyi hivyo. Mzaramo wa zanzibar anamwagia watu tindikali wakati mzaramo wa bara hawana mambo ya ukatili .sisi sio ndugu tena hata tabia hatufanani .mndengereko wa zenji anaua askofu kwa risasi lakini mndengeko wa bara hawezi kuthubutu kufanya hivyo .kwa kweli wazenji mjiandae kurudi nyumbani mtakuja kututembelea kwa kutumia passport tutawapa mwezi mmoja ukiisha basi mnarejea kwenu mchambawima
 
Wacha pumba!unamtisha nani?rejesheni tanganyika yenu kwanza ndipo muanze mikelele,wazanzbr wa sasa hawaogopi vitisho vyenu,mamlaka kamili ya zanzibar ndio target yetu tokea kuanza kwa uhuni huu mwaka 1964,tunawashangaa watanganyika eti leo ndio mmekuwa na uchungu wa tanganyika yenu.

Bobwe
Tulia tuli. Huu moto mlio uanzisha hamtauzima tena. Mamlaka kamili mtapewa saana lakini hao wakubwa zenu mlio wapika huko kwa mwavuli wa muungano sijui kama watawakubalia. Wiki nzima wapo Tanganyika wanakula bata, weekend kisiwandui, watayaweza ikifikia kuulizana passporti??? Tungojee tuone. Pinda tushamwelewesha tayari kuwa Tanganyika ilijilalia tu usingizi sasa imeamshwa na jirani yake Zanzibari. Wanasema waswahili kuwa; Usimwamshe aliye lala....
 
Sasa hivi wamemfanya Mzee Kificho kama kama mbuzi wao wa shughuli. Nadhani mtu huyu atafurahi sana, nadhani sasa ataanza kujiandaa kurudi kwani watu wake akina Sharif Hamad wanamtaka.
 
Last edited by a moderator:
Wacha pumba!unamtisha nani?rejesheni tanganyika yenu kwanza ndipo muanze mikelele,wazanzbr wa sasa hawaogopi vitisho vyenu,mamlaka kamili ya zanzibar ndio target yetu tokea kuanza kwa uhuni huu mwaka 1964,tunawashangaa watanganyika eti leo ndio mmekuwa na uchungu wa tanganyika yenu.

haya maneno yameandikwa na mtu mwenye kisasi cha mapinduzi. wewe ni katika wale waliopona kuingizwa kwenye misafara. ambacho unashindwa kutambua ni kwamba waliofanya mapinduzi bado wapo, na wanafikra tofauti na hizi za kwako, na uwezo wa kukupindua kwa mara nyingine wanao. wewe unafanana na nyoka ambaye alipingwa kiwiliwili kumbe bado kichwa ni kizima. cha kushukuru ni kwamba uhuru wa mitandao umeweka urahisi wa kuona nyoka ambaye bado anatikisika yuu wapi.... nakupa taarifa hii kwa upendo kabisa. waliofanya mapinduzi bado wapo, na uwezo wa wewe kuwapindua hunao hata punje! and since you can't beat them, join them!
 
Back
Top Bottom