Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860
Baadhi ya wananchi, wasomi na wanasiasa huko visiwani Zanzibar wamesema muundo wa Serikali tatu uliopendekezwa katika rasimu ya pili ya katiba utachangia kuudhofisha Muungano wa Tanzania na kuondokana na uzalendo uliodumu na kuimarika kwa miaka 50 tangu kuasisiwa kwake na hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere na marehemu Sheikh Abeid Amani Karume.source voice of america