Baadhi ya wananchi, wasomi na wanasiasa huko visiwani Zanzibar wamesema muundo wa Serikali tatu uliopendekezwa katika rasimu ya pili ya katiba utachangia kuudhofisha Muungano wa Tanzania na kuondokana na uzalendo uliodumu na kuimarika kwa miaka 50 tangu kuasisiwa kwake na hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere na marehemu Sheikh Abeid Amani Karume.source voice of america
Aaah wapi, too late, wameisigina katiba ya JMT na sisi Watanganyika tukaa kimya! Kama kweli waliongea hivyo ni Wanafiki wakubwa, kwa sasa serikali 3 na kurudi kwa Tanganyika ni kama pie=22/7=3.14, kwa maana haviepukiki!
Hayo yameshaelezwa zamani na wahafidhina wa ccm wanaopigania maslahi ya matumbo yao. mtaje ni msomi gani huyo anaetaka muungano wa serekali mbili kuendelea kama si vibaraka wa tanganyika? Stupid!Baadhi ya wananchi, wasomi na wanasiasa huko visiwani Zanzibar wamesema muundo wa Serikali tatu uliopendekezwa katika rasimu ya pili ya katiba utachangia kuudhofisha Muungano wa Tanzania na kuondokana na uzalendo uliodumu na kuimarika kwa miaka 50 tangu kuasisiwa kwake na hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere na marehemu Sheikh Abeid Amani Karume.source voice of america
Watulie tuu kimya kwani sasa wameliamsha gogo limeanza kuporomoka kutoka mlimani. Tulisubiri bondeni tu. Tanganyika haiepukiki, bendera za Tanganyika tunazitaka kuanzia pale pale Dodoma kabla Warioba hajarudi Darisalama.
Bunge hili lipewe nafasi ya kupumzika kidogo. Lipishe lile la kuandaa katiba ya Tanganyika. Ndipo lirudi kazini kwenda kuijadili hii ya Muungano.
Jamaa waliuvunja muungano wenyewe sie Tanganyika kimyaa. Sasa wametuzindua. Wapemba wako kila mahali hapa Tanganyika, hawana hofu ya kumwagiwa tindi kali. Tutataka watuoneshe wabara waliopo kwao. Anzeni kupakia vyombo kabla kwani katika katiba ya Tanganyika, mtu mgeni haruhusiwi kuwa/kumiliki ardhi bila kuwa mzaliwa wala si muasiliwa.
Baadhi ya wananchi, wasomi na wanasiasa huko visiwani Zanzibar wamesema muundo wa Serikali tatu uliopendekezwa katika rasimu ya pili ya katiba utachangia kuudhofisha Muungano wa Tanzania na kuondokana na uzalendo uliodumu na kuimarika kwa miaka 50 tangu kuasisiwa kwake na hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere na marehemu Sheikh Abeid Amani Karume.source voice of america
Ofu imeanza kuwaingia, kuna watu kibao wana ajira zao bara, wkend zenjiiiii.
Wacha pumba!unamtisha nani?rejesheni tanganyika yenu kwanza ndipo muanze mikelele,wazanzbr wa sasa hawaogopi vitisho vyenu,mamlaka kamili ya zanzibar ndio target yetu tokea kuanza kwa uhuni huu mwaka 1964,tunawashangaa watanganyika eti leo ndio mmekuwa na uchungu wa tanganyika yenu.
Wacha pumba!unamtisha nani?rejesheni tanganyika yenu kwanza ndipo muanze mikelele,wazanzbr wa sasa hawaogopi vitisho vyenu,mamlaka kamili ya zanzibar ndio target yetu tokea kuanza kwa uhuni huu mwaka 1964,tunawashangaa watanganyika eti leo ndio mmekuwa na uchungu wa tanganyika yenu.
Watulie tuu kimya kwani sasa wameliamsha gogo limeanza kuporomoka kutoka mlimani. Tulisubiri bondeni tu. Tanganyika haiepukiki, bendera za Tanganyika tunazitaka kuanzia pale pale Dodoma kabla Warioba hajarudi Darisalama.
Bunge hili lipewe nafasi ya kupumzika kidogo. Lipishe lile la kuandaa katiba ya Tanganyika. Ndipo lirudi kazini kwenda kuijadili hii ya Muungano.
Jamaa waliuvunja muungano wenyewe sie Tanganyika kimyaa. Sasa wametuzindua. Wapemba wako kila mahali hapa Tanganyika, hawana hofu ya kumwagiwa tindi kali. Tutataka watuoneshe wabara waliopo kwao. Anzeni kupakia vyombo kabla kwani katika katiba ya Tanganyika, mtu mgeni haruhusiwi kuwa/kumiliki ardhi bila kuwa mzaliwa wala si muasiliwa.
Punguza kulishwa kasumba,wazanzbr hawapo tanganyika pekeyake wapo popote duniani,hebu nambie hao wachina waliojazana hapo mjini je mumeungana nao?