Wazawa tusiogope kupanda Mlima Kilimanjaro

Hongera sana mkuu.
Mimi mara ya kwanza nlitumia route ya umbwe, kwa wale waliyowahi kupanda huo mlima hyo route watakuwa wanailelewa
Maana ni ngumu kuliko zote
Mazingira nk
Mara ya pili nlipitia marangu ile haikunisumbua sana hata hivyo wakat huo ki physic nilikuwa niko njema sana na zote nimefika mpaka uhuru peak

Ova
 
Siwezi Fanya huo ujinga wa kupanda mlima
Kupanda Mlima Kilimanjaro ni ujinga?

Ama kweli Wakenya hawakukosea walipokuwa wanapiga hela kwa kupanda na watalii mlima kilimanjaro.

Kati ya hao wanaopanda mlima na wewe unayekesha kwenye ulanzi nani mjinga?
 
Hujielewi kisa nimekuambia ukweli kwamba huo ni ujinga unaanza kashfa za kishamba ndio maana wabongo ni mazuzu sana unataka Kila mtu alione Hilo jambo ulilosema ni la maana au jinga kweli wewe unanitolea mfano wa Kenya Ili iweje kama wao wameona la maana ni wao ila Mimi naona ni ujinga
 
Ikiwa unakubali kuwa wabongo ni mazuzu basi na wewe ni zuzu kubwa jinga wahed 😁
 
Back
Top Bottom