The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,441
Kuwa makini mkuu.Utauwawa bure.Wazazi tuna hasira.Kuna nyie wazazi ambao mnatabia za kizungu, unajua mtoto bado mwanafunzi especially wa kike, alafu unamruhusu kumiliki simu janja
Tukiwatongoza na kuwapa mimba ,mnataka tuanze kushikana mashati au sio
Kuna kitoto cha form 6 kipo likizo, aseeee nahisi kuna siku wazazi wake watakuja kunipa kesii, dogo ameruhusiwa kumiliki simu janja.. Soon ataliwa , mtoto wakishua wa huku Mbweni.
Haya bhanaa
Mh! kwahiyo watu wasiwape watoto wao simu kisa nyege zako!..🤣Kuna nyie wazazi ambao mnatabia za kizungu, unajua mtoto bado mwanafunzi especially wa kike, alafu unamruhusu kumiliki simu janja
Tukiwatongoza na kuwapa mimba ,mnataka tuanze kushikana mashati au sio
Kuna kitoto cha form 6 kipo likizo, aseeee nahisi kuna siku wazazi wake watakuja kunipa kesii, dogo ameruhusiwa kumiliki simu janja.. Soon ataliwa , mtoto wakishua wa huku Mbweni.
Haya bhanaa
Nimesoma form 6.. ila mtoto wa kike kuwa na simu still bado mwanafunzi, inaleta ushawishi wa yeye kutongozwa baada ya kutoa namba.Hukupitia A' level mkuu ?....
Form 6 wengi tu wanakuwa na maex tayari kwa hiyo kuwa na sex patner ni kawaida. Ila kama wewe unajishtukia kuwa nae, ina maanisha hamuendani kiumri kwa hiyo wewe ndiye mwenye tatizo na hata wazazi wasingempa simu, bado kuna watoto ungewatongoza na kuwapa mimba mitaani..
Kwa hiyo Issue sio wazazi kumpa simu mtu aliyefikisha miaka 18, ila shida ni wewe kutaka kuhalalisha kitu ambacho unaona si sawa.
Unataka kumkanya na fimbo ya musaNitumie namba yake nimkanye
Kwa hiyo mkuu, binti wa form 6 ambaye yupo step moja nyuma ya kuingia chuo ni wa kumnyima simu kwa sababu tu atatongozwa?....Nimesoma form 6.. ila mtoto wa kike kuwa na simu still bado mwanafunzi, inaleta ushawishi wa yeye kutongozwa baada ya kutoa namba.