Wazazi ada sio ubora wa elimu

Wazazi ada sio ubora wa elimu

nkyalomkonza

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
1,154
Reaction score
444
Wazazi wa Tanzania wenzangu. Acheni upumbavu. Tuwapeleke watoto wetu shule za serikali.
Ada zinazingatia uhalisia wa maisha.

Huu usanii wa maisha mpaka lini? Mshahara laki sita ada milion mbili. Hii ni akili au matope?

Mwanangu anasoma shule za serikali anawazidi mbali watoto wa english media
 
english media wale watoto wa automatic hahah.
 
Duh wazazi wanapenda saana shule za matangazo kupitia media mbalimbali na zenye ada kubwa!
 
Wazazi wengi wanakwepa majukumu yao kwa watoto wao, na katika kukwepakwepa kwa upande wa elimu ndio huwa wanatumbukia kwenye huo mtego wa kulipa gharama kubwa za ada.
 
Back
Top Bottom