Pre GE2025 Wazazi CCM 2024 Katavi watisha maadhimisho ya Wiki ya Wazazi

Pre GE2025 Wazazi CCM 2024 Katavi watisha maadhimisho ya Wiki ya Wazazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Joseph Ludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
364
Reaction score
468
Wakuu,

Tangu nimezaliwa sijawahi kuona sherehe za kisiasa zimepangiliwa kisayansi na zikawa na watu wengi kama nilizoona mwaka huu katavi kwenye maadhimisho ya wiki ya wazazi 2024.

Viongozi waliokuwepo ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan Mwenyekiti wa ccm na rais wa nchi, rais Mwinyi, mzee Kinana, Waziri mkuu Majaliwa, Naibu wwziri mkuu Mh. Biteko, Fadhil Maganya mwenyekiti wa wazazi Taifa, Dogo Mabrouk Makamo mwenyekiti, Ally Hapi, katibu Mkuu, manaibu, wajumbe wa Kamati kuu ya ccm, waNEC, wabaraza wazazi, makatibu wa wilaya wazazi na umati wa watu.

Hii ni dhahiri kuwa Afrika hakuna chama kama ccm na kitashinda uchaguzi wa mitaa na mkuu mwakani. Vyama vidogo kama CHADEMA au sijui ACT havina nafasi

Dr. Samia mitano tena.

IMG_20240713_143540_5.jpg
 
Back
Top Bottom