Wazazi Kupeleka watoto wao shule za Ems ni suala la kujua umuhimu wa elimu (education counciousness) au ni suala la uchumi (economic factor)?

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Kama watumishi wote wa ummah na wafanya biashara watarudisha watoto wao kwenye shule za Ummah I will be the last to do so.... licha ya kujifunza lugha ya kiingereza, ila mimi kama mzazi msomi sioni namna darasa la wanafunzi 150 kufundishwa na mualimu moja kama hali ilivo kwenye St kayumba vs 1- 25 ratio ya Ems, kama kweli mwanangu ntakua namtendea haki na ni planned kid hiyo kwangu ni academic suicide, siwezi kumpeleka

Watoto wetu wanahitaji attention en attendance na ukaguzi ya mualimu wakiwa madarasani bora niache pombe, ku honga ma demu kuchangia harusi kuenda holiday ili nilipie mwananangu ada ya Ems hiyo ni future yake that comes once in life time,

Kuna mengi atayapata kwenye hizo shule licha ya English aloquency self confedance, connection social discipline nk, pia atapata elite class katika jamii yetu.

Huku mitaani tunako ishi pamaoja nakulipia ma million ya pesa kwenye Ems ila wazazi hao wana onekana kua na maisha mazuri na ya mpangilio kiliko hao wanao wasomesha kwenye ST Kayumba, suala sio la uchumi ni suala ni educationa awareness katika wazazi.

Kama ingekua economic factor wazazi hao wanao fundisha shule za st kayumba wangekua matajiri kupita hao wa Ems, ila sasa hali zao ni mbaya ndo wana ongoza kuomba mikopo saccos benki na kwa watu binafsi, ndo wanongoza kuomba misaada kwetu, ni kwasababu kipaumbele chao sio elimu.
 
Accademic suicide!neno kubwa sana!

Tamati ndio hutoa hatma bila kujali kijana kasomea wapi na kitu gani!!

Hatma ni uwezo wa kupata pesa kirahisi Tena nyingi bila kutumia nguvu kuu!!hiyo ndio ndoto ya kila mzazi na kijana msomi!

Uelewa was elimu bila hayo niliotaja hapo juu Elimu inakua Haina maana zaidi ya maneno matupu plus lahaja za kuchekesha zisizo na ufumbuzi wa kiuchumi Kwa familia,ukoo na mhusika!!

Mtanyukana Sana hapa lakini jiulize hatma ya yote ni nini!!?Ni pesa na matumizi yake ili kuleta unafuu wa maisha bila hayo hamna kitu!!!

Waza hivyo!!
 
Elimu ya zamani na Elimu ya sasa sio sawa, zamani hayo unao sema ilikua inawezekana, kwasasa bila maandalizi na kuewekaza mwanao hawezi kutoboa kama atafanikiwa atatumia nguvu nyingi siki hizi kuna msemo kwamba ni Rahisi mtoto wamasikini kua Nabii kuliko kua waziri.......kwasababu uwaziri wanaandaliwa networking.
 
Taifa hili limekuwa na maadui wengi sana, wamepenyeza mamluki hadi kwenye elimu. Sasa tumeanza kupuuza hata mchango wa private sector kwenye elimu. Tutavuna tunachopanda
Zamani private schools zilikua za waliofeli mitihani ,Sasa hivi ndio kimbilio hiyo sio sawa kabisa!

Ni serikali kuonyesha imeshindwa na sio tumaini tena Kwa wananchi!!
 
Zamani private schools zilikua za waliofeli mitihani ,Sasa hivi ndio kimbilio hiyo sio sawa kabisa!

Ni serikali kuonyesha imeshindwa na sio tumaini tena Kwa wananchi!!
Ndo ukweli serikali imeshindwa kusimamia elimu bora na masirahi mazuri kwa waalimu unmotivated teachers can't do wonders, wanao umia ni watoto na wazazi.
 
Alaf o level anakmbizwa na kayumba sasa hapo ndy utajua hata ww mwalimu n klaza elimu ya Tz n hyo hyo ndy maana wanafanya mitihani sawa na serikal ndy msimamiz mkuu sasa kipi kimebadilika au wazaz n kukosa uelewa ya elimu?
 
Wewe jamaa una akili finyu kinoma...

Mtoto wa primary unadhani atapata connections, networks, nk zipi kwa level hiyo?

Hata hiyo confidence kwa level ya primary bado sanaaa!

Mambo ya connections, networks yanaanzia advance huko kuelekea university.

Na personality ya mwanao ndiyo itadetermine hizo connections na networking.

Mimi nimesoma gavoo kuanzia primary mpaka advance.... Tena ordinary nilisoma kayumba.


Nilikuwa mkimya ile mbaya, nimefika advance sina stori na yeyote, nimefika sijui hata topics, ila kuna wana wamepiga pre form five, wapo wanashusha ma calculations ile mbaya!

Ila gues what? Mpaka tunamaliza nilikuwa na connections na networking ya nguvu! Picha linaanza kuanzia mock mpaka necta niliwatandikia one ya nguvu!

Point ya msingi hapa ni usitumie nguvu kubwa kumhangaikia mtoto, unachopaswa kufanya ni kumguide aiendee njia iliyo sahihi, kisha muache a-explore his/her strengths, muache apambane na atumie talents alizobarikiwa.

Shida ya siku hizi tunafosi watoto wa-flow kwenye mkondo mmoja, kitu ambacho ni uongo. Huwezi kuwa na watoto 5 kisha wote wakawa na akili sawa, wote wakaenda versity na wote wakaajiriwa.

Let them explore their talents!!!
 
Mkuu foundation ya kila jambo ni shule ya msingi urafiki wa dhati ni wa shule ya msingi sekondari then chuo ki kuu, sio kwamba kila anae enda Ems lazima afauli na aende varsity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…