Kama watumishi wote wa ummah na wafanya biashara watarudisha watoto wao kwenye shule za Ummah I will be the last to do so.... licha ya kujifunza lugha ya kiingereza, ila mimi kama mzazi msomi sioni namna darasa la wanafunzi 150 kufundishwa na mualimu moja kama hali ilivo kwenye St kayumba vs 1- 25 ratio ya Ems, kama kweli mwanangu ntakua namtendea haki na ni planned kid hiyo kwangu ni academic suicide, siwezi kumpeleka
Watoto wetu wanahitaji attention en attendance na ukaguzi ya mualimu wakiwa madarasani bora niache pombe, ku honga ma demu kuchangia harusi kuenda holiday ili nilipie mwananangu ada ya Ems hiyo ni future yake that comes once in life time,
Kuna mengi atayapata kwenye hizo shule licha ya English aloquency self confedance, connection social discipline nk, pia atapata elite class katika jamii yetu.
Huku mitaani tunako ishi pamaoja nakulipia ma million ya pesa kwenye Ems ila wazazi hao wana onekana kua na maisha mazuri na ya mpangilio kiliko hao wanao wasomesha kwenye ST Kayumba, suala sio la uchumi ni suala ni educationa awareness katika wazazi.
Kama ingekua economic factor wazazi hao wanao fundisha shule za st kayumba wangekua matajiri kupita hao wa Ems, ila sasa hali zao ni mbaya ndo wana ongoza kuomba mikopo saccos benki na kwa watu binafsi, ndo wanongoza kuomba misaada kwetu, ni kwasababu kipaumbele chao sio elimu.