Wazazi Kupeleka watoto wao shule za Ems ni suala la kujua umuhimu wa elimu (education counciousness) au ni suala la uchumi (economic factor)?

One good thing about GCSE is that it's your ticket into the echelons of High Society. The connections you make at international schools, will surely transform the life of a child forever.

I hate that fees are over-hyped.​
 
100%. Fact.

Wewe jamaa una akili nyingi Sana aisee. Unaweza kuwaibia kura hata CCM kwenye uchaguzi
 

U have got a very little understanding about children psychology. For your information watoto huwa wanafurahia Zaidi wanapo kuwa wengi Kuliko wanapokuwa wachache.

Watoto hupenda michezo na kujumuika na watoto wenzao na wengi huenda shuleni Kwa sababu ya michezo na kujumuika na wenzao.

Una mu abuse mtoto wako unapompeleka kwenye shule yenye watoto 12 darasa moja..

Children need to live their childhood to the fullest.

Watoto wetu wanahitaji attention en attendance na ukaguzi ya mualimu wakiwa madarasani bora niache pombe, ku honga ma demu kuchangia harusi kuenda holiday ili nilipie mwananangu ada ya Ems hiyo ni future yake that comes once in life time,

Narudia Tena u have got a very little understanding about children pyschology. Alie kudanganya watoto wana hitaji attention ya mwalimu wakiwa darasani ni nani? Wewe sema.wewe ndio unataka watoto wako wapate attention ya mwalimu wakiwa darasani usiwalishe maneno. And that is selfish you want the children to be you.

Watoto huhitaji Zaidi attention ya watoto wenzao wanapokuwa darasani Kuliko walimu.
Kuna mengi atayapata kwenye hizo shule licha ya English aloquency self confedance, connection social discipline nk, pia atapata elite class katika jamii yetu.

Eti connection? Unajua maana ya connection wewe? Wewe rafiki zako WA primary una wasiliana nao?

Connection wanapata kuanzia Advance na Chuo Sio primary.


Halafu ujue kitu kimoja kwenye shule za kishua kila mtu huwa ana wavimbia wenzake kujiona kwao WaPo juu kushinda wenzake so connection maana Yake inabidi mtoto wako awe anajipendekeza Kwa watoto wa matajiri jambo ambalo ni hatari kwake pia anaweza kuingizwa kwenye ushoga. Hapo nimezungumzia shule za kishua ( international schools za kulipa ada dola elfu 30 kwa mwaka)

Sio hizo Ems ambazo mnao peleka watoto wenu Huko wote ni masikini

Maisha mazuri ni Nini?

Tajiri ni nani?
 
Mkuu naongelea teaching class room ratio, sio idadi ya wanafunzi katika shule nzima, kuna shule zina stream 5 darasa moja na kila stream ina watoto 25 waalimu wawili.
 
Mkuu naongelea teaching class room ratio, sio idadi ya wanafunzi katika shule nzima, kuna shule zina stream 5 darasa moja na kila stream ina watoto 25 waalimu wawili.
Namimi nazungumzia teaching class room. Shule za EMs nyingi hazina watoto wengi ukipita kama msiba. Shule ya msingi inatakiwa kuwa na positive energy muda wote iwe imechangamka
 
Namimi nazungumzia teaching class room. Shule za EMs nyingi hazina watoto wengi ukipita kama msiba. Shule ya msingi inatakiwa kuwa na positive energy muda wote iwe imechangamka
Teacher ni facilitator katika learning process sasa niambie kama we ni mualimu 1 teacher ata facilitate je wanafunzi 150 ndani ya kipindi cha dakika 45?
 
Teacher ni facilitator katika learning process sasa niambie kama we ni mualimu 1 teacher ata facilitate je wanafunzi 150 ndani ya kipindi cha dakika 45?
Huwaga ni wanafunzi 60 Hadi 70 Sio 150 but Hata wangekuwa 150 still bado Sio Kazi ngumu Kwa mwalimu kufanya .As a matter of fact walimu wa shule za Kayumba wanapenda Zaidi watoto wengi Kuliko wachache coz watoto wengi means hela nyingi
 
Huwaga ni wanafunzi 60 Hadi 70 Sio 150 but Hata wangekuwa 150 still bado Sio Kazi ngumu Kwa mwalimu kufanya .As a matter of fact walimu wa shule za Kayumba wanapenda Zaidi watoto wengi Kuliko wachache coz watoto wengi means hela nyingi
Elimu bure mkuu jitahidi kua realistic shule yenye madarasa 4 itakua je na wanafunzi 3000, watasoma je.
 
UNACHOJARIBU KUSEMA NI KWAMBA CHAKULA KILE KILE, WAPISHI TOFAUTI.

Kwasababu
Mtihani unaandaliwa na Serikali
Mtihani unasahishwa na serikari
Matokeo yanatangazwa na serikali

Wakifaulu wanapangiwa shule za serikali

Cha ajabu zaidi vyuo vikuu vinaaminika zaidi vya serikali

Na huko vyuoni utawapata wote, waliomaliza STK n EMS
 
Umeandika sana ila hujasema kitu,tofauti ya elimu ya kayumba na ems ni lugha tu,
Hakuna lolote huko nimeishi na kusoma nao hawana jipya lolote
Unatakiwa kupeleka tu mtoto wako kayumba kimya kimya, huna haja ya kutafuta ushirika ili mfanane wengi na haitakuja kutokea kufanana kwenye maisha.

Wenye uwezo watapeleka sehemu wanapohisikia watoto watapa elimu bora, either International School, or English Medium, uwezo haupo ukiona sehemu sahihi St Kayumba hapo hapo mpeleke mtoto wako.
 
Namimi nazungumzia teaching class room. Shule za EMs nyingi hazina watoto wengi ukipita kama msiba. Shule ya msingi inatakiwa kuwa na positive energy muda wote iwe imechangamka
Huu nao ni uchizi mwingine, kwamba unataka kuamisha watu kwamba darasa lenye wanafunzi 100 kwa ratio ya mwalimu mmoja na darasa lenye wanafunzi 25 kwa ration ya walimu, ni afadhali darasa lenye wanafunzi 100 kwa mwl mmoja kuliko wanafunzi 25 kwa walimu 02. ???
 
Nikiangalia uwezo wa mimi baba mtu na wa vijana wangu waliopo EMs najikumbusha umri wao nilikuwa na uwezo gani halafu nacheekaa jinsi elimu niliyokuwa nayo angalau darasa la tano ilivyokuwa kituko....vijana wangu wadogo uwezo wao wa kuchanganua mambo ni mkubwa sana...

bahati nzuri hapa jirani wanacheza na watoto wenzao wa Kayumba ukiwafananisha hata wanapokuwa hapa sebuleni kutazama TV unagundua tofauti kubwa sana...

upopoma wa watoto siku za baadae unaweza kujengwa na mzazi bahiri. Tukutane kileleni. N'yadikwa
 
Mkuu sio waxazi kua bahili kwangu ni kukosa muamuko wa elimu na kufuata mkumbo kwasababu mzazi huyu huyu anapoteza pesa nyingi kwa vitu vingine visio na umuhimu wowote
 
Ongezea tamati ni kupata pesa na kuendesha maisha bila kujali umefika chuo gani mkuu!!
 
sasa kumbe je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…