Wewe jamaa una akili finyu kinoma...
Mtoto wa primary unadhani atapata connections, networks, nk zipi kwa level hiyo?
Hata hiyo confidence kwa level ya primary bado sanaaa!
Mambo ya connections, networks yanaanzia advance huko kuelekea university.
Na personality ya mwanao ndiyo itadetermine hizo connections na networking.
Mimi nimesoma gavoo kuanzia primary mpaka advance.... Tena ordinary nilisoma kayumba.
Nilikuwa mkimya ile mbaya, nimefika advance sina stori na yeyote, nimefika sijui hata topics, ila kuna wana wamepiga pre form five, wapo wanashusha ma calculations ile mbaya!
Ila gues what? Mpaka tunamaliza nilikuwa na connections na networking ya nguvu! Picha linaanza kuanzia mock mpaka necta niliwatandikia one ya nguvu!
Point ya msingi hapa ni usitumie nguvu kubwa kumhangaikia mtoto, unachopaswa kufanya ni kumguide aiendee njia iliyo sahihi, kisha muache a-explore his/her strengths, muache apambane na atumie talents alizobarikiwa.
Shida ya siku hizi tunafosi watoto wa-flow kwenye mkondo mmoja, kitu ambacho ni uongo. Huwezi kuwa na watoto 5 kisha wote wakawa na akili sawa, wote wakaenda versity na wote wakaajiriwa.
Let them explore their talents!!!