Wazazi mnaleaje watoto? Huyu angekuwa mwanangu ningempeleka Polisi akafunzwe adabu

Zerock

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2026
Posts
853
Reaction score
1,701
Jana shemeji yenu alinipa mkasa wa pale nyumban kwao. Kuna mdogo wake wa kiume almost miaka 13/14 (balehe)

Kwanza dogo kaacha shule akiwa darasa la sita,hii yote ni baada ya kaka yake kuacha shule akiwa form 1, hii yote ni sababu ya malezi ya wazazi. Wote wawili wamekuwa ni watu kushinda mtaani.

Mkasa wenyewe ni:

Pale nyumban kuna mtoto wa dada yake (mtoto wa kike 4 yrs),asa wife huwa akitoka yule mtoto huwa anamuacha kwa wifi yake nyumba ya pili

Mwezi uliopita baada ya wife kuondoka yule dogo wa kiume alimchukua yule mtoto wa kike akamshusha mabonden akaenda kumfanyia mambo ya kishenzi

Mama yake alipokuja yule mtoto wa kike akasema kwamba (mjomba kaniwekea dudu) ila alipoulizwa dogo akasema siyo yeye. Na wazazi wakala kavu bila kumuadhibu yule dogo

Wife anadai yule dogo kazoea, hata kwa watoto wa majirani. Nilimwambia wife ningekuwepo ningempeleka huyo dogo polis afunzwe adabu hata wiki moja

N.B mtoto wa kike ni mtoto wa dada yake wife
 
Duh! huruma sio malezi, nyege zitakuja kumpoza huyo dogo!!! anaweza akapiga tukio kwa mtoto wa jirani.....
Nimemwambia dada yake
Ipo siku ataingia kambi mbovu akaenda kuozea jela
 
Jana shemeji yenu alinipa mkasa wa pale nyumban kwao. Kuna mdogo wake wa kiume almost miaka 13/14 (balehe)

Kwanza dogo kaacha shule akiwa darasa la sita,hii yote ni baada ya kaka yake kuacha shule akiwa form 1, hii yote ni sababu ya malezi ya wazazi. Wote wawili wamekuwa ni watu kushinda mtaani.

Mkasa wenyewe ni:

Pale nyumban kuna mtoto wa dada yake (mtoto wa kike 4 yrs),asa wife huwa akitoka yule mtoto huwa anamuacha kwa wifi yake nyumba ya pili

Mwezi uliopita baada ya wife kuondoka yule dogo wa kiume alimchukua yule mtoto wa kike akamshusha mabonden akaenda kumfanyia mambo ya kishenzi

Mama yake alipokuja yule mtoto wa kike akasema kwamba (mjomba kaniwekea dudu) ila alipoulizwa dogo akasema siyo yeye. Na wazazi wakala kavu bila kumuadhibu yule dogo

Wife anadai yule dogo kazoea, hata kwa watoto wa majirani. Nilimwambia wife ningekuwepo ningempeleka huyo dogo polis afunzwe adabu hata wiki moja

N.B mtoto wa kike ni mtoto wa dada yake wife
Polisi kuna uwezekano wa mawili, ajirekebishe na kuwa na nidhamu ya woga au apate trauma awe katili asipaogope tena polisi.
 
Daaah,huyo dogo wanamchekea,,,,ningevunja miguu,,,,toto umri huo linaranda mtaani shule kakataa na wanamtizama tu😥
 
Huo upumbavu wa kuandikishwa nyuzi na vitoto vyenye maziwa shingoni siwezi kuutumikia,Nitachapa hadi mifupa itoke damu.
 
Polisi kuna uwezekano wa mawili, ajirekebishe na kuwa na nidhamu ya woga au apate trauma awe katili asipaogope tena polisi.
Hili neno TRAUMA linatumika vibaya. Kuna wapumbavu mitandaoni wanashauri watoto wasichapwe eti watapata trauma.. upumbavu mtupu
 
Jana shemeji yenu alinipa mkasa wa pale nyumban kwao. Kuna mdogo wake wa kiume almost miaka 13/14 (balehe)

Kwanza dogo kaacha shule akiwa darasa la sita,hii yote ni baada ya kaka yake kuacha shule akiwa form 1, hii yote ni sababu ya malezi ya wazazi. Wote wawili wamekuwa ni watu kushinda mtaani.

Mkasa wenyewe ni:

Pale nyumban kuna mtoto wa dada yake (mtoto wa kike 4 yrs),asa wife huwa akitoka yule mtoto huwa anamuacha kwa wifi yake nyumba ya pili

Mwezi uliopita baada ya wife kuondoka yule dogo wa kiume alimchukua yule mtoto wa kike akamshusha mabonden akaenda kumfanyia mambo ya kishenzi

Mama yake alipokuja yule mtoto wa kike akasema kwamba (mjomba kaniwekea dudu) ila alipoulizwa dogo akasema siyo yeye. Na wazazi wakala kavu bila kumuadhibu yule dogo

Wife anadai yule dogo kazoea, hata kwa watoto wa majirani. Nilimwambia wife ningekuwepo ningempeleka huyo dogo polis afunzwe adabu hata wiki moja

N.B mtoto wa kike ni mtoto wa dada yake wife
Wewe pia ni mpumbavu kama hao wazazi. Wewe hatua uliyochukua ni kuja kuandika umbea hapa JF badala ya kuhakikisha huyo dogo ananyooshwa. Au unalinda maslahi yako kutoka kwa hiyo familia?
 
Ungeuliza niko sehemu gani kabla hujaanza kutype kwa hasira ningekujibu
 
Chukua hatua maana wewe ni sehemu ya familia ile na mzazi/mlezi wa huyu kijana.
Mchukue umpe shule au majukumu huku ukiangalia mienende yake kwa jicho la mwewe.
 
Hii inanikumbusha kashemeji kangu umri huo huo wa balehe kuna siku kamemkunja mamamkwe full kumpigiza sakafuni, kisa alikua anampiga mwanangu muda huo nipo nje.

Ile naingia ndani mama mkwe analia sikujiskia vizuri nikamvuta wife faragha nijue kulikon, wife nae kaficha kwakua ananijua na chanzo cha wao kukwidana ni huyo dogo alimpiga kibao mwanangu.

nikaona isiwe kesi nikamuuliza ma mkwe alichonambia nikae na dogo niongee nae maana ni tabia yake kumtukana kumjibu hovyo na kumpiga.

Nikambana wife vizuri ndio kunipa kisa kizima, nikaona nikipiga mimi nitaua nikasema nimchukue nimpeleke polisi, hata sijaanza kutoka mama mkwe ananipigia magoti eti nimsamehe dogo.

nikamwambia itakuaje sasa basi nikamsemee kwa walimu wake, jibu nililolipata nikachoka. mamkwe anadai walimu watakua wanamchukia mwanae.

kuhitimisha nikawaambia wote dogo mama mkwe na wife, huyu dogo (shemeji) staki kumuona kwangu kabisa na siku akija akiingia kwenye 18 zangu watanichukia maisha yao yote.

kipindi chote dogo kavimba tuu hata kuomba msamaha hakuna.

Nilichogundua, Maisha ya kulea mzazi mmoja tena mama ni Bomu kubwa sana, Madingi tujifunze kulazimisha kuwalea watoto wetu wa kiume hata kama tupo mbali na familia au tumezinguana na mama zao.
 
La kubaka mtoto halikubaliki, ila nakushauri achana na mambo ya ukweni. Na mwambie my waifu wako akome kukusimulia mambo ya kijinga.
 
Back
Top Bottom