Hakika mkuu......ila hata wewe unaweza ukaokoa jahazi kama kuna possibility!Nimemwambia dada yake
Ipo siku ataingia kambi mbovu akaenda kuozea jela
Polisi kuna uwezekano wa mawili, ajirekebishe na kuwa na nidhamu ya woga au apate trauma awe katili asipaogope tena polisi.Jana shemeji yenu alinipa mkasa wa pale nyumban kwao. Kuna mdogo wake wa kiume almost miaka 13/14 (balehe)
Kwanza dogo kaacha shule akiwa darasa la sita,hii yote ni baada ya kaka yake kuacha shule akiwa form 1, hii yote ni sababu ya malezi ya wazazi. Wote wawili wamekuwa ni watu kushinda mtaani.
Mkasa wenyewe ni:
Pale nyumban kuna mtoto wa dada yake (mtoto wa kike 4 yrs),asa wife huwa akitoka yule mtoto huwa anamuacha kwa wifi yake nyumba ya pili
Mwezi uliopita baada ya wife kuondoka yule dogo wa kiume alimchukua yule mtoto wa kike akamshusha mabonden akaenda kumfanyia mambo ya kishenzi
Mama yake alipokuja yule mtoto wa kike akasema kwamba (mjomba kaniwekea dudu) ila alipoulizwa dogo akasema siyo yeye. Na wazazi wakala kavu bila kumuadhibu yule dogo
Wife anadai yule dogo kazoea, hata kwa watoto wa majirani. Nilimwambia wife ningekuwepo ningempeleka huyo dogo polis afunzwe adabu hata wiki moja
N.B mtoto wa kike ni mtoto wa dada yake wife
Hili neno TRAUMA linatumika vibaya. Kuna wapumbavu mitandaoni wanashauri watoto wasichapwe eti watapata trauma.. upumbavu mtupuPolisi kuna uwezekano wa mawili, ajirekebishe na kuwa na nidhamu ya woga au apate trauma awe katili asipaogope tena polisi.
Wewe pia ni mpumbavu kama hao wazazi. Wewe hatua uliyochukua ni kuja kuandika umbea hapa JF badala ya kuhakikisha huyo dogo ananyooshwa. Au unalinda maslahi yako kutoka kwa hiyo familia?Jana shemeji yenu alinipa mkasa wa pale nyumban kwao. Kuna mdogo wake wa kiume almost miaka 13/14 (balehe)
Kwanza dogo kaacha shule akiwa darasa la sita,hii yote ni baada ya kaka yake kuacha shule akiwa form 1, hii yote ni sababu ya malezi ya wazazi. Wote wawili wamekuwa ni watu kushinda mtaani.
Mkasa wenyewe ni:
Pale nyumban kuna mtoto wa dada yake (mtoto wa kike 4 yrs),asa wife huwa akitoka yule mtoto huwa anamuacha kwa wifi yake nyumba ya pili
Mwezi uliopita baada ya wife kuondoka yule dogo wa kiume alimchukua yule mtoto wa kike akamshusha mabonden akaenda kumfanyia mambo ya kishenzi
Mama yake alipokuja yule mtoto wa kike akasema kwamba (mjomba kaniwekea dudu) ila alipoulizwa dogo akasema siyo yeye. Na wazazi wakala kavu bila kumuadhibu yule dogo
Wife anadai yule dogo kazoea, hata kwa watoto wa majirani. Nilimwambia wife ningekuwepo ningempeleka huyo dogo polis afunzwe adabu hata wiki moja
N.B mtoto wa kike ni mtoto wa dada yake wife
Ungeuliza niko sehemu gani kabla hujaanza kutype kwa hasira ningekujibuWewe pia ni mpumbavu kama hao wazazi. Wewe hatua uliyochukua ni kuja kuandika umbea hapa JF badala ya kuhakikisha huyo dogo ananyooshwa. Au unalinda maslahi yako kutoka kwa hiyo familia?