THE GREAT CAMP
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 765
- 194
Kama watoto wenyewe shuleni ndiyo madudu wanayoyafanya na kuwaza. Hapa hizo dvs zero ni halali kabisa.
source: http://www.facebook.com/pages/Evils...u-ya-Dar-Es-Salaam/117379068436857?ref=stream
Hapa unahisi wamepata division ngapi hawa watoto?
Huyu naye unahisi atakuwa amepata division gani?
Na huyu je atakuwa ame score division ngapi?
Inatia kichefuchefu kabisa. (moderators naomba uvumilivu)
source: http://www.facebook.com/pages/Evils...u-ya-Dar-Es-Salaam/117379068436857?ref=stream
Hapa unahisi wamepata division ngapi hawa watoto?
Huyu naye unahisi atakuwa amepata division gani?
Na huyu je atakuwa ame score division ngapi?Inatia kichefuchefu kabisa. (moderators naomba uvumilivu)