Wazazi msitafute mchawi wa watoto wenu kufeli... Angalieni madudu ya watoto wenu kwenye picha hizi.

Wazazi msitafute mchawi wa watoto wenu kufeli... Angalieni madudu ya watoto wenu kwenye picha hizi.

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
765
Reaction score
194
Kama watoto wenyewe shuleni ndiyo madudu wanayoyafanya na kuwaza. Hapa hizo dvs zero ni halali kabisa.

source: http://www.facebook.com/pages/Evils...u-ya-Dar-Es-Salaam/117379068436857?ref=stream
225299_133542516820512_766168012_n.jpgHapa unahisi wamepata division ngapi hawa watoto?

481497_128616703979760_1835763155_n.jpgHuyu naye unahisi atakuwa amepata division gani?

488059_133323403509090_385341274_n.jpg Na huyu je atakuwa ame score division ngapi?
Inatia kichefuchefu kabisa. (moderators naomba uvumilivu)
 
hebu irudishe kule facebook haraka!
Unataka kusema watoto wa vijijini mfano wamasai wa monduli wanafanya haya?
 
Kama watoto wenyewe shuleni ndiyo madudu wanayoyafanya na kuwaza. Hapa hizo dvs zero ni halali kabisa.

source: http://www.facebook.com/pages/Evils...u-ya-Dar-Es-Salaam/117379068436857?ref=stream
View attachment 84229Hapa unahisi wamepata division ngapi hawa watoto?

View attachment 84230Huyu naye unahisi atakuwa amepata division gani?

View attachment 84231 Na huyu je atakuwa ame score division ngapi?
Inatia kichefuchefu kabisa. (moderators naomba uvumilivu)

Lakini hawa mbona ni waigizaji kwenye graduu ya shule ya sekond
 
hebu irudishe kule facebook haraka!
Unataka kusema watoto wa vijijini mfano wamasai wa monduli wanafanya haya?[/QUOT
Mkuu tatizo ni source ya link kuwa Fb au tatizo ni kuona hayo madudu ya wadogo zetu? Jamvi letu JF lina page Fb BASI TUWASHAURI WAITOE HIYO PAGE.
Otherwise si kila kitu Fb ni cha kijinga.Vingine vina mantiki.Hapa tunaangalia tatizo la watoto kufeli na ukifuatilia hiyo source vizuri inakwambia kabisa evils in DSM; Mimi sijasema watoto wa kimasai huko monduli. ( Kama ni mekukwaza so sorry). MUNGU ibariki Tanzania na watu wake wote.
 
Jamii forums bado mpo correct!kwani ukweli ndio huo tu,leo hii watoto wa sec.schools haswa wale wa gvt's schools wanaongoza kufanya madudu kama hayo na hii ni wazi kabisa kuwa wako huru.ukweli ni kwamba kwa sasa private schools ndizo shule zenye nidhamu ambayo huwasaidia katika structural leanings zao na hata maigizo hayawi ya namna kama hayo yaliyo wekwa na admin hapo juu.
 
Kama watoto wenyewe shuleni ndiyo madudu wanayoyafanya na kuwaza. Hapa hizo dvs zero ni halali kabisa.

source: http://www.facebook.com/pages/Evils...u-ya-Dar-Es-Salaam/117379068436857?ref=stream
View attachment 84229Hapa unahisi wamepata division ngapi hawa watoto?

View attachment 84230Huyu naye unahisi atakuwa amepata division gani?

View attachment 84231 Na huyu je atakuwa ame score division ngapi?
Inatia kichefuchefu kabisa. (moderators naomba uvumilivu)

Kwani wanafunzi wa aina hii ni wangapi?
 
Kwani wanafunzi wa aina hii ni wangapi?
There is no single reason for failure. There are multiple reasons. Tunajaribu kuangazia wanafunzi waliowengi mambo wanayo yafanya. Thus, siwezi jua wanafunzi wa namna hii wapo wangapi kwa idadi au %. Lakini hizo ni baadhi tu ya vitendo wanavyo vifanya. Chunguza sana wanafunzi mienendo yao kwa umakini.
 
Wanafunzi walaumiwe k,wa kurahisisha mambo hasa ya elimu
wanajali zaidi kuonekana wa kisasa kumiliki simu na kuvaa hovyo hovyo, kutamani na kujihusisha na ngono.mi naona wamevuna walichopanda
 
Hii noma baba na mama mtu wanajua mtoto anaexhaust subject kumbe anaexhaust mambo ya love and nature
 
hivi watanzania ndio wanaojua face book peke yao duniani kote, je watu wazima wanaorudia mitiani nao wameathiliwa na facebook?
 
Naomba namba za huyo wa kwenye picha ya pili, nataka nimfundishe tuition!

Mzee Mchaka Mchaka, achana na watoto wa shule, utakamatwa ushitakiwe na ufungwe. Ushauri wa bure, wewe zunguka mitaani tafuta wakubwa wenzio kama huyu hapa:

Mzigo Mkubwa 1.jpg
 
Duh! Kazi kweri kweri Muraaa.
Vita ni vita muraaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom