Wazazi msitafute mchawi wa watoto wenu kufeli... Angalieni madudu ya watoto wenu kwenye picha hizi.

hebu irudishe kule facebook haraka!
Unataka kusema watoto wa vijijini mfano wamasai wa monduli wanafanya haya?
 

Lakini hawa mbona ni waigizaji kwenye graduu ya shule ya sekond
 
 
Jamii forums bado mpo correct!kwani ukweli ndio huo tu,leo hii watoto wa sec.schools haswa wale wa gvt's schools wanaongoza kufanya madudu kama hayo na hii ni wazi kabisa kuwa wako huru.ukweli ni kwamba kwa sasa private schools ndizo shule zenye nidhamu ambayo huwasaidia katika structural leanings zao na hata maigizo hayawi ya namna kama hayo yaliyo wekwa na admin hapo juu.
 

Kwani wanafunzi wa aina hii ni wangapi?
 
Kwani wanafunzi wa aina hii ni wangapi?
There is no single reason for failure. There are multiple reasons. Tunajaribu kuangazia wanafunzi waliowengi mambo wanayo yafanya. Thus, siwezi jua wanafunzi wa namna hii wapo wangapi kwa idadi au %. Lakini hizo ni baadhi tu ya vitendo wanavyo vifanya. Chunguza sana wanafunzi mienendo yao kwa umakini.
 
Wanafunzi walaumiwe k,wa kurahisisha mambo hasa ya elimu
wanajali zaidi kuonekana wa kisasa kumiliki simu na kuvaa hovyo hovyo, kutamani na kujihusisha na ngono.mi naona wamevuna walichopanda
 
Hii noma baba na mama mtu wanajua mtoto anaexhaust subject kumbe anaexhaust mambo ya love and nature
 
hivi watanzania ndio wanaojua face book peke yao duniani kote, je watu wazima wanaorudia mitiani nao wameathiliwa na facebook?
 
Naomba namba za huyo wa kwenye picha ya pili, nataka nimfundishe tuition!

Mzee Mchaka Mchaka, achana na watoto wa shule, utakamatwa ushitakiwe na ufungwe. Ushauri wa bure, wewe zunguka mitaani tafuta wakubwa wenzio kama huyu hapa:

 
Duh! Kazi kweri kweri Muraaa.
Vita ni vita muraaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…