ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
hapo kuna twisheni kweli??Naomba namba za huyo wa kwenye picha ya pili, nataka nimfundishe tuition!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo kuna twisheni kweli??Naomba namba za huyo wa kwenye picha ya pili, nataka nimfundishe tuition!
anataka kumkimbiza mchaka mchakahapo kuna twisheni kweli??
hebu irudishe kule facebook haraka!
Unataka kusema watoto wa vijijini mfano wamasai wa monduli wanafanya haya?
There is no single reason for failure. There are multiple reasons. Tunajaribu kuangazia wanafunzi waliowengi mambo wanayo yafanya. Thus, siwezi jua wanafunzi wa namna hii wapo wangapi kwa idadi au %. Lakini hizo ni baadhi tu ya vitendo wanavyo vifanya. Chunguza sana wanafunzi mienendo yao kwa umakini.
Mama Mdogo umefanya la maana kumpatia Mzee Mchaka Mchaka mkubwa mwenzie ahangaike nae! Yaani badala asaidie katika kulaani wale wanaorubuni vibinti vya shule yeye anaomba namba kabisa kisha watoto wakifeli tunawalaumu kuwa wanaendekeza ngono.Mzee Mchaka Mchaka, achana na watoto wa shule, utakamatwa ushitakiwe na ufungwe. Ushauri wa bure, wewe zunguka mitaani tafuta wakubwa wenzio kama huyu hapa:
View attachment 84313
awali ya yote napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa jamii forum kwa kuaccept usajili wangu. nimekuwa nikijaribu atleast kupost my opinions lakini kutokana na ugeni ktk matumizi ya teknolojia nikashindwa. Mi ni mkereketwa hasa ktk masuala ya elimu bcoz ni mwl niliyesoma ktk kipindi ambacho ethics za ualim zinatekelezwa ipasavyo.
Napenda kutoa maoni yangu juu ya matokeo ya kidato cha 4 kama ifuatavyo:
1- wanafunzi wa wakati huu kutokuwa na nidhamu, sifikiri kama pasipo na nidhamu kuna mafanikio ktk jambo lolote nidhamu ni jambo la msingi sana. malezi mabaya ya wazazi yanawajengea watoto wa leo kuwadharau walimu wao hivyo kudharau na kile wanachofundishwa.
2-matumizi mabaya ya teknolojia kama vile simu za mkononi, compyuta n.k. Wanafunzi hawatumii teknolojia kwa ajili ya kutafuta elimu bali kuiga mambo ya kipuuzi kama vile picha za ngono, mavazi ya kutuacha uchi kwa kudai kuwa ndo usasa.
3-walimu hawatoshelezi
4-kutofanya mtihani wa mchujo wa national form2, wanafunzi wanabweteka sn kusoma miaka minne mfululizo bila kipimo chochote hasa ukizingatia kuwa miaka ya hivi karibuni wanafunzi wamekuwa wakijiunga kidato cha 1 bila kujua kusoma wala kuandika. watendaji wa elimu mikoa na wilaya kulundika walimu shule za mijini na kusahau za vijijini.