Wazazi/mzazi wa binti


dahhh tulizo wee....
post yako imejaa busara tele.
wazazi tuyasome na kujazingatia haya...bonding!
 
Mamito jibu swali kwanza, mbona unaleta tena swali?

Kangu kako 4.2 years bana kanakuja na story za baby class tu leo ticha katufundisha sound A for apple ,,sound D for Dark

haya na wewe nijibu
 
Hommie ndo maana nikaomba mifano ya kweli ili watu waelewe tusiongelee tamthilia hapa! Hommie hivi Matesha alivyo mzuri vile leo akuage anaenda kwa boyfrendi utamuelewa?

Kimey so ni bora akae kimya uje umuone tu na kitumbo ndii?? Sidhani maana najua utajuta na kujilaumu kwa nini humupata nafasi ya kumuonya!
Kwangu mie nafikiri ni vema nikamjua boyfriend wake and from there nitajua namna ya kumdhibiti (si lazima umkataze kwa maneno na fimbo Kimey) ni bora ukajua kuna kidudumtu Boyfriend kuliko kuhisi ni innocent ukajaishia kushika kichwa. Ulimwengu wa sasa si sawa na ule wa enzi zetu Kaka............................ Mimi kama mmi ningependa kujua kwa kuwa itanisaidia yafuatayo
1. Kumjua aliye karibu naye kwa kipindi hiki.
2. Nitapata nafasi ya kumkanya kwa mifano halisi
3. Nitajua kama ni lijifataki flani hivi linalotaka kumuharibu binti yangu.


Dada Caro amerise a very important point ya dini, kumlea mtoto katika mazingira ya uchaji na maadili ya kidini ambayo pasipo mwongozo wa mzazi katu hayafanikiwi otherwise tusingeona ongezeko kubwa la vitendo viovu vya mabinti/watoto wetu pamoja na kuwa tuna dini za kila aina (mie nina mtazamo tofauti na dini za siku hizi naomba nisiuzungumze hapa) but ni wazi kuwa maadili ya malezi ya watotot kwa kiasi flani yamesahaulika na dini zetu na sanasana msisitizo umewekwa kwenye namna ya kuponya magonjwa na kupata mali!! (Ni mtazamo wangu mimi)
 

mkuu take iy from me..

wamama wengi unaowaona wana akili ukubwani na wako strong

wengi wao walifanya stupid mistakes huko nyuma...

mabinti waliopata mimba mashuleni,wakazaa na kuanza upya kusoma
wengi wao walifika mbali zaidi.....

mimi nina dada binamu wawili,leo ukiwaona ukiaambiwa ni hawa walipata mimba huwezi amini

wana career na wameolewa,wako perfect today....

sometimes wazazi tuna take haya mambo too personal wakati

yanayowatokea hata wao huumia na kujifunza
 
King'asti bado hujanijibu umenza kupeleka boifrendi ukiwa na miaka mingapi?
 

Viongozi wa dini who we look up to them kwa tabia, mienendo na matendo mema. Inakuwaje baadhi ya watoto wao wanakuwa na tabia zisizo ilhali 24/7 au muda mwingi wako kwenye mazingira ya ki Mungu.

Kuna baadhi ya familia ambao wazazi sio kabisa, wana tabia, mienendo na matendo mabaya kabisa lakini baadhi ya watoto wao wanakuwa bora sana kitabia, mienendo na vitendo kwa ujumla?
 
CD hajajua kwa nini inakua vicious cycle. ni kama matatizo ya watzanzania, rais hajui kwa nini sisi ni maskini, na maskini hawajui kwa nini wao ni maskini. correction fluid haifai hapa,unaweka cross ila inasomeka na kila mwenye jicho. if u play holier than thou with ur kids,inakula kwako vibaya kabisaa!
mbu, huyo msiri dawa yake ww unakua open kwake ile mbaya. mpe tu stori zako, na experience zako mbalimbali. tell them abt how mistakes can cost them. bt always reassure kwamba u will be there for them no matter what! tell him 'mchuma janga anakula na wa kwao', na wakiharibu they shld run to papaa. utawaelekeza jinsi ya kubeba na kuvumilia maumivu coz u been there,done that and got the t-shirt! gongelea stori tu ataokotea humo humo. tell them hakuna mpya, mlishaenda date mka-sneak in the car mkijiona wajanja na ikawagharimu jukumu lililowaibia ujana wenu na kuwafanya wazazi! muhimu sana huu ukimwi aisee, talk abt protection, protection and protection in case the temptation is too much!
same kwa binti, muambie asichafue cv, tell her she is much better than the ordinary gals na hutegemei ashindwe japo akiona anashindwa uko hapo kwa ajili yake. ungeweza kumchanua mkawaongelea hao vijana mkawacheka na kuangalia future yake na each of them ingesaidia. bt ukimuambia 'sasa hivi u dont even know what or who u wanna be. if u take ur time na usijifunge na mtu ambae ataweza kuzuia ama kuzima ndoto zako itakusaidia. i can see u being anyone u wanna be, even ms rice unajua! so be carefull,anagalia hata past yako isije ikakuchafua'. inasaidia ukiangalia E! chanel nao, jinsi ambavyo maceleb ex-bf zao wanavyouza sex tapes na kuwaharibia sifa. let her imagine a string of boys kila mt anakuja na picha zako za zamani kwenye tv. oops, im being a mother already,hahaha

 

Na ndio maana nikasema nina mtazamo tofauti sana na dini za siku hizi FA.
Ni kweli kabisa ukisemacho. Nadhani kuna mafundisho ya dini ambayo either inabidi yabadilishwe au mkazo na approaches zibadilishwe. Kwa mfano dini inapokataza watu kuzaa nje ya ndoa. Kwa approach inayotumika kwa sasa haisaidii kitu kwani imekuwa kama ni fasheni sasa bibi arusi kuolewa either na tumbo au muda mfupi baada ya kujifungua. So nadhani kuna mapungufu katika namna tunavyoziendeleza dini zetu.
 
promise me u will believe me, bt i wish ningeshare nawe kwa pm. hahaha, na 1st choice maza alikubali kabisaa!
King'asti bado hujanijibu umenza kupeleka boifrendi ukiwa na miaka mingapi?
 
na ukiona kitumbo ndii unajiuliza kama ukimwi haukuingia nayo! kwa kweli, uzazi ni kitu kigumu sana aisee! well,kumjua boifrend inaweza kusaidia wakati mtoto anafanya choice ajiulize hivi mama/dingi akimuona huyu kijana (na hereni zake, kasuka utii wa roda, na kaptula kata ka), atanionaje? atakuwa proud na mie? the best manipulation ni kuwafanya watoto wajiskie kuwa u ar very proud of them na watake kupata sifa kutoka kwako. wakati mwingine kujifanya unaheshimu choices zao pia japo una opinion tu

 

MJ1, kuna kitu cha ziada ambazho tunatakiwa kukiongeza pale tunapowaza kuhusu malezi.

Umewahi kuwaza sababu za kimazingira ambazo ziko nje ya uwezo wa mzazi kuzicontain?

Mfano, kuangalia sinema zenye hisia kali za mapenzi, kusoma novel zenye hisia za mapenzi, kuwa na marafiki ambao tayari wana wapenzi. Fikiria mwanao anasoma boarding na yuko katika mazingira hayo ..., na wewe hujui kama yuko katika mazingira hayo, au hudhani kuwa mazingira ni hatarishi wa tabia, mienendo na vitendo ya mtoto?

Je tumewahi kifikiria sababu za kibaiolojia zinazoweza kumpelekea mtoto kuwa na tabia, mienendo na vitendo zisizokubalika katika jamii yetu? Je mtizamo wa jamii yetu uko sahihi kulingana na generation ya watoto wetu?
Nadhani kunatakiwa nguvu za utashi na hekima za ziada katika malezi.
 
Reactions: Mbu

...lol, mtawavutia wenye siasa kali sasa hivi;

...haya ya mtizamo wa dini nilishaonya tusiyaingilia tangu awali, kwani wengi wetu wa kizazi hiki tuna ndoa za mchanganyiko wa kiimani, iwe ni madhebebu mbali mbali mfano sabato na catholics, christians na muslims, etc..

...ndoa za bomani na hata tunaobadili dini tuoane, zimerahisisha haya.... ndio maana nikasisitiza tutizame zaidi udhibiti wa mabadiliko kasi ya utandawazi, matakwa na matamanio..,.na impact yake kwenye malezi ya binti wa kileo.
Suala la dini haliepukiki, ila kwa kasi ya mporomoko wa maadili inajionyesha wazi woga na ucha mungu umepotea.
 
promise me u will believe me, bt i wish ningeshare nawe kwa pm. hahaha, na 1st choice maza alikubali kabisaa!

umenikumbusha mbali, mie bf wangu wa kwanza alikuwa anakuja home kama mwanafunzi mwenzangu, hapo lazima acndikizwe na fnds zake, mambo ya kujificha, aliekuwa huru ni niliempeleka kama mchumba na bado alikuwa anabaniwa mpaka asubiri ndoa, mama alikuja kushtukiza mjamzito...hahahaha alipanic huyo, je acpokuoa, je cjui nn na nn....hahahah
 
promise me u will believe me, bt i wish ningeshare nawe kwa pm. hahaha, na 1st choice maza alikubali kabisaa!
For U I will,
Si unakumbuka nilikua nataka mifano live ili niwe na uhakika sometime hii mambo ina work. Twende PM, hahaha tena kuna vijiswali ntakuuliza huko huko. lol
 
the boss, ndo hapo tunapopaswa kushare sasa prons and cons za kila route utakayochagua. kuna watu wanapata phd at 30 yrs old, na kuna anaeanzia certificate, diploma hadi kupata phd at 50 yrs old. hao binamu zako maybe wasingepitia hivyo vikwazo wangefika hapo walipo kwa urahisi zaidi, ama wangefika mbali zaidi ya hapo. usisahau hussles za kuwa na mtoto wa nje, mara mzazi mwenzio am'bague, mara hili! na isitoshe tunaposisitiza always being there for u no matter what ndo hayo y kuwa utasoma,hata kama ni lazma ukae home ili unyonyeshe, ama ukose muda wa kucheza ili uangalie mwanao,lakini tutahakikisha haupotei mazima!
 
hapo kwa bold,kawimbo kazuri hako,mweeh! sasa kama kuna vijiswli tena, mi ntaogopa kuingia chumbani na ww,mamangu alisema boys sio wa kuwaamini,lol!!
For U I will,
Si unakumbuka nilikua nataka mifano live ili niwe na uhakika sometime hii mambo ina work. Twende PM, hahaha tena kuna vijiswali ntakuuliza huko huko. lol
 


katika dunia ya leo hata wavulana wanahitaji kulindwa

kuna mapenzi ya jinsia moja kwa mfano.....

itakuwaje mvulana wako anakuletea boyfriend?
umewahi kujiuliza hiyo.....na hasa kama ni msiri unajuaje?????/
 
the boss, i again agree with u. umenikta maini,naskia tumbo la kuendesha! Mungu apishie mbali,OMG! na hata hao wa kike. boarding skuls tumesoma na wadada lesbians. nakuambia principle ni moja, do what u can do when ur parents ar seeing u! na huku kwetu ndo inabidi mambo ya watoto kuingia na virafiki vyao bedroom ikatazwe kabisaa!
katika dunia ya leo hata wavulana wanahitaji kulindwa

kuna mapenzi ya jinsia moja kwa mfano.....

itakuwaje mvulana wako anakuletea boyfriend?
umewahi kujiuliza hiyo.....na hasa kama ni msiri unajuaje?????/
 
endeleeni kutupa shule maana hili ni janga kwa taifa siku hizi hasa na shule zetyu za bodaboda kazi kweli
 
hahaha, wamama watukutu hawa,lol! nampatia picha mamako alivyopata homa kuona unatemea mate huko mbali. walau kama alipata courage ya kuja home akiwa mchumba ilikua sign ya commitment. kha!
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…