Jomse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 275
- 92
Someni Biblia, muongozo jinsi ya kulea watoto wenu iko mule imetulia, hizo mbwembwe za kizungu ni kizungumkuti tu hazina msaada. Punguzeni uzungu, mtoto wa miaka 12 unamnunulia blackberry aingie facebook, tv mnaweka DSTV watoto wanaangalia makorokocha yasiyokuwa na msingi kisa mna hela za kuwawekea.
Carol watoto wa siku hizi hawana formula.Kwa mfano Utamkataza kuangalia DSTV ,Marufuku kuwa na simu wala kupigiana simu,baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku ni kwenda kulala.Hivyo hamna cha kuangalia tamthilia.Utapiga marufuku magazeti ya udaku lakini mtoto huyo huyo atakuja kukusimulia shade of sin na second chance na kila kitu kinachoendelea katika tamthilia.Habari zote hizi anazipata shuleni kwa kusimuliwa na wenzake.
Ni kweli kuna wazazi wengine wako loose sana kwa watoto wao kiasi kwamba wanatuangusha.
Kuna nyimbo watoto wangu wanaziimba vizuri mpaka nashangaa wamejifunzia wapi wakati hiyo redio hawana muda wa kuzisikiliza.Uzuri nikiwahoji wananijibu kwamba wamesikia wenzao wakiimba.