Wazazi/mzazi wa binti

Wazazi/mzazi wa binti

Mkuu mbu kumbe umegonga nyundo za kutosha,hongera sana aisee kwa kuwa na kijana mkubwa namna hiyo,kwa elimu za sasa hivi atakuwa chuo sasa hv maybe,tusiache tu kuwakumbusha tulikotoka na maadili ya kiafrika, mie pia niliwahi sana at 19 nilipata boy alifariki miezi sita badae, sipati picha angekuwepo saa hizi na hawa wadogo zake
this is the reason i love MMU....

we dont only dare talk openly, but we dare share our true life experiences.....

Hii thread ni shule tosha sana...

and for my sweet sis Gaga, sorry about the loss but i am sure God made you stronger after that loss, the avatar says it all, SMILES :hug:
 
JAmani nyie wachangiaji nimesoma michango yenu huku machozi yananitoka. AshaDii mamito aksante kwa kushare na pole kwa ulopitia lakini hongera kwa ujasiri. Leo tu asubuhi nimetoka kupigiwa simu na mzazi wangu kuwa eti Baba yangu mdogo amempiga mkewe kiasi cha kumwumiza kisa binti yao (sina uhakika na umri) but amemaliza form six na anayetarajiwa kujiunga na chuo hivi karibuni eti amebeba mimba na baba anamlaumu mkewe kwa kosa hilo? (Binti aliyekuwa anasoma Boarding)!!. Sina la kusema zaidi ila tu ninawaomba wapenzi tukumbuke kuwa karibu na watoto wetu.

Ukaribu huu usiachiwe kujengwa na mzazi wa kike peke yake la hasha bali wote. Hakuna siku niliyojikuta najawa na furaha na mpaka leo nikikumbuka ninatabasamu, siku niliyomuona rafiki yangu (mwanaume) akiwa amekaa na binti yake mapumzikoni akawa wa kwanza kuanzisha mada moto moto juu ya mahusiano na utineja! Kusema ukweli nilipigwa na mshangao wa hivi Tanzania kuna wababa wa hivi kweli??! I was so blessed kwa sababu ninaelewa fika kuwa hii ikiwa ni desturi ya huyu best na watoto wake ni wazi kwanza watoto watakuwa wazi kwa wazazi wao na pili hata inakuwa rahisi zaiidi kwa wao kuelewa si tu mabadiliko ya miili yao as they grow bali pia hata changamoto za mahusiano na mapenzi, Mfano namna ya kuzuia usiumizwe moyo, namna ya kuhandle hata hayo maumivu e.t.c.

Mbu ubarikiwe sana kwa hii thread. Unanifanya nitamani kuwa na mtoto wa kike na mie nimfanye awe rafiki yangu.
 
...hahhh, we acha tu...ukiona mbu ana buzz humu ujue keshakula chumvi nyingi aisee...
thx for that mydear...kila jambo lina happen for a reason, mw'mungu pekee ndiye mjuaji
kwanini alimtanguliza malaika wake,...light a candle for him, naye anaendelea kukuombea,
siku ya ukamilifu malaika huyo atakukaribisha kwenye nyumba na pumziko la milele

this is the reason i love MMU....

we dont only dare talk openly, but we dare share our true life experiences.....

Hii thread ni shule tosha sana...

and for my sweet sis Gaga, sorry about the loss but i am sure God made you stronger after that loss, the avatar says it all, SMILES :hug:

mtm, we acha tu aisee,....ashadii ushuhuda wake umeusoma? dahhh...yaani tangu jana nimezidi kum admire how strong
she is...

JAmani nyie wachangiaji nimesoma michango yenu huku machozi yananitoka. AshaDii mamito aksante kwa kushare na pole kwa ulopitia lakini hongera kwa ujasiri. Leo tu asubuhi nimetoka kupigiwa simu na mzazi wangu kuwa eti Baba yangu mdogo amempiga mkewe kiasi cha kumwumiza kisa binti yao (sina uhakika na umri) but amemaliza form six na anayetarajiwa kujiunga na chuo hivi karibuni eti amebeba mimba na baba anamlaumu mkewe kwa kosa hilo? (Binti aliyekuwa anasoma Boarding)!!. Sina la kusema zaidi ila tu ninawaomba wapenzi tukumbuke kuwa karibu na watoto wetu.

Ukaribu huu usiachiwe kujengwa na mzazi wa kike peke yake la hasha bali wote. Hakuna siku niliyojikuta najawa na furaha na mpaka leo nikikumbuka ninatabasamu, siku niliyomuona rafiki yangu (mwanaume) akiwa amekaa na binti yake mapumzikoni akawa wa kwanza kuanzisha mada moto moto juu ya mahusiano na utineja! Kusema ukweli nilipigwa na mshangao wa hivi Tanzania kuna wababa wa hivi kweli??! I was so blessed kwa sababu ninaelewa fika kuwa hii ikiwa ni desturi ya huyu best na watoto wake ni wazi kwanza watoto watakuwa wazi kwa wazazi wao na pili hata inakuwa rahisi zaiidi kwa wao kuelewa si tu mabadiliko ya miili yao as they grow bali pia hata changamoto za mahusiano na mapenzi, Mfano namna ya kuzuia usiumizwe moyo, namna ya kuhandle hata hayo maumivu e.t.c.

Mbu ubarikiwe sana kwa hii thread. Unanifanya nitamani kuwa na mtoto wa kike na mie nimfanye awe rafiki yangu.

...mwj1 thx dear for i know exactly what you mean,...asante sana...
poleni sana kwa huyo aunty na bintiye...maskini,...huu ni unyanyasaji wa
hali ya juu...ni nani aliyesema malezi ya mtoto ni mama pekee?

...kama ashadii, namimi nimependezwa sana na hiyo mabuluu...kwakuwa kwenye red pananigusa utosini! when i was 20yrs old, my girlfriend got pregnant...nikamkatalia katakata kuitoa...the rest is history...
leo hii nikikaa na kijana wangu, ambaye sasa ana 20yrs,...najipa hongera kwa maamuzi magumu
niliyoyafanya wakati ule...

...bahati nzuri wazazi wangu walikuwa ni waelewa, wakatusaidia mpaka binti akazaa salama na maisha yakaendelea.
kimbembe ni sasa mbu mie ambaye kwa speed ya vijana wangu, naona hala hala tu historia isije kujirudia halafu nikaitwa babu hata 45 sijafikisha. Hizo lectures za uzazi wa mpango, marafiki, heartbreaks nk...aaah, tunakaa chini na kuyaongea kama mtu na kaka yao, na haya ma cerelac yaliyowakuza, hata nikiongozana nao naonekana ni wadogo zangu tu...

shukran sana mtm, mbimbinho, gaga na hususan ashadii....

This post has made me proud of you... I do respect you but naona RESPECT imeongezeka.... ni vijana wachache Mno wana guts za kuface father hood at a young age of 20... yahitaji busara ya hali ya juu saana, na napenda the fact you were there for your galfriend... and i do know for a fact kua lazima ulikua unaogopa as much as hapa mtu aweza fikiri ulikua brave....

Nikirudi kwa vijana wetu na repeating the same mistake.... Naona sometimes it is so simple repeating that mistake... I remember when i was younger niliona kama wazazi wangu wana madhaifu in kutulea sisi as kids... i was all like nikiwa na watoto wangu nitafaya hivi... oooh nitakua mwelewa sitawafuatilia saaana... oooh nitawalea wataniona i am the best parent... and so on.... NANI kasema?? when i remember the illussions i had of being a parent... i laugh at myself and appreciate my parents that i feel they where BEST parents than i can ever be... for kuna mambo they did for me as their child which i am not sure yet if i could pass the same exam..... Parent hood.... Mbu acha kabisa!! Kazi kweli kweli....
 
this is the reason i love MMU....

we dont only dare talk openly, but we dare share our true life experiences.....

Hii thread ni shule tosha sana...

and for my sweet sis Gaga, sorry about the loss but i am sure God made you stronger after that loss, the avatar says it all, SMILES :hug:
sipendi kuifikiria sana coz ilinifanya niwe kama kichaa, at that time tulikuwa na nyumba yetu, umagine ilibidi tuhame tukapange ili nisikae mazingira ya home, si unajua mtoto wa kwanza tena, decoration,makorokoro kibao, nilitibiwa hadi ilibidi niondoke nikakae na wifi yangu yaani nahisi utoto nao sijui, sikuweza kuhandle ile hali, kila nikienda agha khan moyo unalipuka mpaka sasa, ahsante sana MTM , wakati mwingine tunajikuta tunafunguka tu
 
This post has made me proud of you... I do respect you but naona RESPECT imeongezeka.... ni vijana wachache Mno wana guts za kuface father hood at a young age of 20... yahitaji busara ya hali ya juu saana, na napenda the fact you were there for your galfriend... and i do know for a fact kua lazima ulikua unaogopa as much as hapa mtu aweza fikiri ulikua brave....

Nikirudi kwa vijana wetu na repeating the same mistake.... Naona sometimes it is so simple repeating that mistake... I remember when i was younger niliona kama wazazi wangu wana madhaifu in kutulea sisi as kids... i was all like nikiwa na watoto wangu nitafaya hivi... oooh nitakua mwelewa sitawafuatilia saaana... oooh nitawalea wataniona i am the best parent... and so on.... NANI kasema?? when i remember the illussions i had of being a parent... i laugh at myself and appreciate my parents that i feel they where BEST parents than i can ever be... for kuna mambo they did for me as their child which i am not sure yet if i could pass the same exam..... Parent hood.... Mbu acha kabisa!! Kazi kweli kweli....
Rahisi sana kufikiria mpenzi kufanya vitendo inakuwa ngumu, juzi kati mtoto wangu wa miaka 11 nimekuta kamwandikia msichana msg, eti helw wyf, sasa sio mmoja wyf walikuwa kama watatu, nikassema ndio baiology ya soulmate au nini hiki, ilibidi niwe mkali ila kwa huo ukali eti nikamwambia, wewe unakuwa na wyf wangapi?kwani umeona baba yako ana wake wangapi? akanijibu wenyewe wanataka niwaite hivo, duh maneno yaliniisha pamoja kwamba kabla ya hapo nilijiona mie ni best parent ila nilishindwa kutia neno lolote, nikampigia babake simu akaja kumchukua wakatoka wote ndio akaongea nae huko, ila sikukata tamaa nilivopumua na hasira kuisha tuliongea vizuri tukafikia muafaka simu hakuna mpaka afikie 13
 
Badala ya kusikitika nimecheka mpaka basi!!! Khaaa! Hivi Gaga huyo si ndio tulisema waoane na kigoli wangu... Sasa itakuwaje jamani... lijali kiasi hicho at 11?? hapo nahisi mwanangu hana lake kabisa....lol...

B2T as a parent kweli lazima uishiwe kabisa pose... afadhali ni wa kiume (sidhani kama kweli aweza fanya kitu maana biologia sidhani kama inamruhusu) akiwa wa kike unaogopa zaidi... Sinaga raha when i think of my kid.... Dah!
 
Huyo nilikwambia mwingine huyo wa 12, yaani nilipiga chap chap kwa hiyo nina 12 na 11, huyo mkubwa yeye ni kitabu tu nahisi atacop vizuri sana na wa kwako
 
Hapo sawa dear.... maana matumaini ya kuunganisha u-family friend to blood relative yalianza kukimbia....lol...
 
hahahahah ashadii, umeshasahau huwa tunapenda bad boyz, huwezi jua anaweza angukia kwa huyo wa 11
 
ha ha ha.... Umenikumbusha mbali... unajua uzuri wa bad boys... they make you grow up into a woman haraka saana - but once you are grown up... hutaki tena Upuuzi wao... na end up with the good guys... (Mbu ama MJ1 watatutandika sasa hivi....lol)
 
kweli aisee, good grown up man, nadra sana kukutana nao, mbu na mj1 wako honeymoon
 
Heee!!! Mbona harusi sikukaribishwa?? au ile ya kisasa... Honey moon kwanza harusi badae....lol
 
Honeymoon zipo tu best, wakati wowote, harusi inakuwa kubwa zaidi ya zote, yaani huko ni maua kumwagwa kuanzia mlangoni, kitanda lazima kiwe wet na champaign huh!!! kesho yake wanatembea beach mwanaume full white nahisi linen na mwanamke na free dress tupu tu
 
Rahisi sana kufikiria mpenzi kufanya vitendo inakuwa ngumu, juzi kati mtoto wangu wa miaka 11 nimekuta kamwandikia msichana msg, eti helw wyf, sasa sio mmoja wyf walikuwa kama watatu, nikassema ndio baiology ya soulmate au nini hiki, ilibidi niwe mkali ila kwa huo ukali eti nikamwambia, wewe unakuwa na wyf wangapi?kwani umeona baba yako ana wake wangapi? akanijibu wenyewe wanataka niwaite hivo, duh maneno yaliniisha pamoja kwamba kabla ya hapo nilijiona mie ni best parent ila nilishindwa kutia neno lolote, nikampigia babake simu akaja kumchukua wakatoka wote ndio akaongea nae huko, ila sikukata tamaa nilivopumua na hasira kuisha tuliongea vizuri tukafikia muafaka simu hakuna mpaka afikie 13

kweli aisee, good grown up man, nadra sana kukutana nao, mbu na mj1 wako honeymoon

dddaaahhh, gaga umenichekesha sana jioni hii...duuhh...
hii sredi si ipo tangu majuzi jamani, yaani hukusoma mawazo ya wachangiaji humu?

ume overreact sana tu bana, khaa.... he's just 11 for god'sake!....mwache mtoto awe mtoto kwanza bana...
ha ha ha,....lakini mnh,...ati "...wenyewe wanataka niwaite hivyo,!" aiseee...kanajiamini sana hako eee?
sasa, kwa busara badala ya kupandisha mzuka na nini, ungekaa naye chini na kumdadisi anawa handle vipi hao...

lakini kwakuwa wewe umekurupuka, hatakwambia na wala hutamuona tena ng'o, akikuelezea mahusiano yake.
ushamjengea nidhamu ya woga kwamba wewe huwezi mtunzia siri zake, na kwamba huwezi ku handle issues
mpaka unamshtakia kwa baba'ke...

try to win back his trust bana, mwambie uli overreact tu, lakini you are still friends...khaaa....
umeniacha hoi na hiyo approach yako, ..
 
dddaaahhh, gaga umenichekesha sana jioni hii...duuhh...
hii sredi si ipo tangu majuzi jamani, yaani hukusoma mawazo ya wachangiaji humu?

ume overreact sana tu bana, khaa.... he's just 11 for god'sake!....mwache mtoto awe mtoto kwanza bana...
ha ha ha,....lakini mnh,...ati wenyewe wanataka niwaite hivyo, aiseee...kanajiamini sana hako eee?
sasa, kwa busara badala ya kupandisha mzuka na nini, ungekaa naye chini na kumdadisi anawa handle vipi hao...

lakini kwakuwa wewe umekurupuka, hatakwambia na wala hutamuona tena ng'o akikuelezea mahusiano yake.
ushamjengea nidhamu ya woga kwamba wewe huwezi mtunzia siri zake, na kwamba huwezi ku handle issues
mpka unamshtakia kwa baba'ke...

try to win back his trust bana, mwambie uli overreact tu, lakini you are still friends...khaaa....
umeniacha hoi na hiyo approach yako, ..
Hahahaaa mbu yaani jinsi niko nae bize kwenye ma interview ya kutafutaa shule wala sikuwa na muda wa kuingia humu mara tumesafiri huku mara kule kama nilivosema kwa asha kabla halijakukuta unapanga kila kitu na kuwaambia maneno yote mazuri, ukishaona ukweli sasa ndio unasahau hata ulivopanga sijui ni kwa nn, ila nashukuru niliyaweka sawa na kuongea nae badae,nilimwambia kuwa na rafiki wa kike sio kubaya ila hizo msg sio nzuri kama yule mtoto mama au baba ake akikuta zile msg inakuwa mbaya zaidi kuliko yeye wa kiume

ikabidi nimpe sasa na elimu ya dunia na maradhi na mambo y sex yote ilibidi niongee nae, nikamwuliza ushawahi kukiss, akaniambia ndio, ilikuwaje, akasema mtoto wa kike alimwambia wakiss shuleni huko kwenye vikona,yaani mtihani ile mbaya
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...hhhaahhaahha...duuuhhh, aisee pole sana.
nadhani ushamuuliza maswali yote ya msingi, kilichobakia
msisitizie mahusiano yake yaishie huko huko kwa under age wenzake,
asithubutu kurubuniwa na wadada wakubwa, mwambie wana ukimwi hao...

dahhh, mtoto kama huyo utamfunzaje matumizi ya condom?
...wazazi tuna mitihani...
 
Mbu nimeongea nae yooote kazi kwake tu, na baba ake kamalizia, na mengine tunamwachia Mungu tu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom