Jokeri
Member
- Dec 9, 2021
- 26
- 73
Habariii wana jukwaa
Kichwa cha habari kinajieleza hapo juu mnamo mwaka huu mwezi wa 9 nilifanikiwa kumuoa mwanamke ambaye nilikua nae kwenye kipindi cha uchumba kwa miaka zaidi ya mitatu. Na ni mwanake mwenye stara,utu pamoja na utulivuu vijana hupenda kuwaita wife material na tunapendana sana
Lakini hali ilibadilika pale nilipo enda kumtambulisha kwa wazazi kwani walikua wenye wasiwasi na hasira juu ya kumuoa huyu binti na kuniambia niachane nae maramoja tena isitoshe baba yangu mzazi alisema nisipo vunja mahusiano na huyu binti atanipa laana,,,ndio laana ...ndugu zangu baadhi walinionya vikali kua niachane na huyu mwanamke ,nimejalibu kuuliza na kudodosa kilichopo nyuma ya pazia sijaona lolote na nikiwauliza hawasemi lolote zaidi tu ya kusema niachane nae na ukizingatia binti tunapendana kwa dhati .Sielewi nifwate wasemalo wazazi na ndugu au niufwate moyo wangu?
Natumaini humu kuna watu wenye busara na hekima juu ya mahusiano pamoja na mapenzi msaadaa wenu plz nipo njia panda
Nb:mimi na binti tumepishana miaka 3 na mimi ni mkubwa kwake na wote tupo juu ya miaka 23+