cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usikute babako, kakako na mjomba wako "washamchapa" huyo binti ndiyo maana wanakukataza kumuoa.
Ama dadako, mamako, na shangazI zako washachangia "danga" na huyo binti
Wakubwa huwa wanaongea kwa mafumbo