Wazazi na ndugu wamepinga vikali nimuoe na kuishi nae binti nimpendaye bila kunipa sababu yoyote, sielewi nifanyeje!

Wazazi na ndugu wamepinga vikali nimuoe na kuishi nae binti nimpendaye bila kunipa sababu yoyote, sielewi nifanyeje!

Usikute babako, kakako na mjomba wako "washamchapa" huyo binti ndiyo maana wanakukataza kumuoa.

Ama dadako, mamako, na shangazI zako washachangia "danga" na huyo binti

Wakubwa huwa wanaongea kwa mafumbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushauri uliopewa na ndugu yako uliukataa huu wetu utauchukua?
 
Kuna kitu hujakiweka wazi
Angalia usijerudi hapa kuomba msaada Tena.
Narudia Kuna kitu hujaweka wazi.
Wazazi wako wanaelewa zaidi ya sisi hapa tusiokujua.
 
Back
Top Bottom