Wazazi na wanafunzi ikwiriri, waelimishwe.

Wazazi na wanafunzi ikwiriri, waelimishwe.

MBUFYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
445
Reaction score
68
mtazamo wangu tuu wakuu.
kitendo cha wazazi na wanafunzi wa shule ya ikwiriri kuandamana kushinikiza mkuu wa shule afukuzwe kazi kwani kiwango cha ufaulu kimeshuka saana shuleni hapo,. source(morning magic)
HOJA YANGU. sidhani chanzo cha kufeli kama ni waalimu, hapa inatakiwa kuangalia mfumo mzima wa wizara na jinsi gani wana tatua matatizo ya watumishi wake.
nawasilisha.
 
Back
Top Bottom