Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki kama ndani ya jamii yenu kuna Panya Road mkanyeni

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Tunajua vile ilivyo kazi kumwambia Panya Road aache Upanya Road wake kwa sababu hawa watu huwa hawana ego kabisa.

Niwaase wazazi au walezi mpeni neno moja tu ili yakimpata yakumpata awe anakumbuka maana hawa ni vichwa ngumu

Dunia ya Sasa si yakuhatarisha maisha ya watu na ukabaki salama. Si ya kuiba na kupora mali za watu na ukabaki salama.
 
wakanyeni abdul na ofisi zenu za ujinga UVCCm
 
Tunajua vile ilivyo kazi kumwambia Panya Road aache Upanya Road wake kwa sababu hawa watu huwa hawana ego kabisa.

Niwaase wazazi au walezi mpeni neno moja tu ili yakimpata yakumpata awe anakumbuka maana hawa ni vichwa ngumu

Dunia ya Sasa si yakuhatarisha maisha ya watu na ukabaki salama. Si ya kuiba na kupora mali za watu na ukabaki salama.
Hebu niaminishe kama wewe si Miongoni mwa Panya Road!
 
Back
Top Bottom