Hilo bwabwa lisikusumbue akili..Mbona wezi wa mali za umma hamja wahi kuwakanya...? Au Kwa sababu hao ni hatari za usalama wenu ??
Hebu niaminishe kama wewe si Miongoni mwa Panya Road!Tunajua vile ilivyo kazi kumwambia Panya Road aache Upanya Road wake kwa sababu hawa watu huwa hawana ego kabisa.
Niwaase wazazi au walezi mpeni neno moja tu ili yakimpata yakumpata awe anakumbuka maana hawa ni vichwa ngumu
Dunia ya Sasa si yakuhatarisha maisha ya watu na ukabaki salama. Si ya kuiba na kupora mali za watu na ukabaki salama.