Wazazi ni chanzo cha ndoto nyingi za vijana kutokutimia

Upo sawa. Tanzania mzazi yupo tyar kumsomesha mtoto wake india. Analipa million 10 kila mwaka. Miaka mi4 ni milion 40. Ila akimaliza chuo mzazi hawezi mpa hta m5 kma mtaji.
Maisha ni kupambana, nadhani inabidi tuache kulalamika na tujifunze ku-appreciate hata kwa hatua ndogo ambayo wazazi wamefanya tukasogea, kama mzazi kafanya wajibu wake kwa jasho na kupambana usome, ukimaliza lazima kwanza utambue mchango wao, pia ujue kuwa wewe ni msomi, elimu uliyopata ni nyenzo kubwa ya kuweza kujitegemea na kusonga mbele.

Mimi naona vijana wengi hutuwajibiki vya kutosha na mwisho kuanza kutuma lawama za either kukosa mitaji na hata kulaumu wazazi kama hivi. Kuna nafasi (opportunities) nyingi hatuzigusi wala kuzishiriki kwasababu ya upofu wa kwamba eti mimi ni msomi siwezi fanya shughuli fulani, wakati huohuo mtu mwingine tena mwenye elimu ya chini kuliko wewe ana-survive na kuendesha maisha. Tubadilike, tuheshimu michango ya wazazi au walezi na tuwajibike.
 
Mkuu umemuelewa vizuri kweli heradius12 alichokuwa anakimaanisha?

Kwanza hapa wazazi wanatupiwa lawana kwa kulazimisha mawazo yao yafuatwe na wanao
 
Hii ni kweli kbsa.

Nshazoea nikitaka kufanya ishu yangu huwa sisemi nyumban.

Nikifanikiwa bas heri na nisipofanikiwa huwa naamn haikuwa bahat yangu.

Zaidi ya yte huwa simshirikishi mzaz wangu.

Kwa kijana kuamua kufanya biashara na ukamshirikisha mzazi wako ambae mpka leo ameajiriwa atakuona ww ndo huna akili. Bra ukae kimya ufanye mambo yako.

Ukifanikiwa wao wenyew watakuja na kuanza kuwaambia watu jinsi walivyoamn utaweza kwasbb uko makini sana.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ila nyuma ya pazia ww ndo unajua nan aliyekuamn.
 
Mimi nilikua napenda sana tennis..ila nilichezea kichapo siku moja baada yakutoroka shule kwenda kucheza tennis,,,ningeendelea i hope leo ningekua world top seed kibasa



Roger angenitambua vizuri
Mzazi alikatisha ndoto,

Alitaka usome uwe mwalimu wa arts,

Halafu umemaliza shule ajira hakuna,
 
Kuna rafiki yangu alikua anapenda kusoma masomo ya biashara ila wawazi wake walitaka akasome rural development kwa vile mtu mzee mmoja alisoma pale mtaani kwao akatusua. Hadi leo jamaa hajapata kazi so amebak kulalamika kwa wazazi.
Angalizo: Wazazi ni vyema mkabaki washauri sometimes vijana tunajua nini tunataka.
 
Ofcourse sir,wazazi wabaki kuwa washauri tu,

Na wakiona mtu kafanya kitu fulani basi nao wanataka iwe hivyo
 
1. usi laumu mtu kwa kutofanikiwa kwako
2.changamoto inazo kutana nazo zikujenge utoke hapo ulipo upige hatua mbele zaidi
 
1. usi laumu mtu kwa kutofanikiwa kwako
2.changamoto inazo kutana nazo zikujenge utoke hapo ulipo upige hatua mbele zaidi

Kuna mtu kalaumiwa hapo?

Au wewe ni type ya mzazi mjuaji halafu maskini
 
Kuna mtu kalaumiwa hapo?

Au wewe ni type ya mzazi mjuaji halafu maskini

1 stop the witch-hunt
2 fanya kazi
3 utafanikiwa

kama una ona siko sahihi unaweza kuni sahihisha au kama au kama hauwezi kumsahiisha 'maskini mjuaji' tunaweza kukubali kutofautina

siku njema
 
Mjasiriamali anatakiwa:
.aende kinyume na Mambo ambayo jamii/familia inayoya amini.

.Awe tayari hata kuonekana chizi lkn cha msingi atimize ndoto zake.

.Asiwe msaka approval kutoka mtu yoyote,cha Msingi awe anaamini kwenye anachokifanya.

Najua mchango wa wazazi kwenye maisha mpk kufika hapa na ninawashukuru kwa juhudi zao kwani kuna vingi tu wanatufanyia kama prestige tu.

Lkn atleast inapofika muda wa mtu kuamua hatma yake ni bora wao wasupport watoto wao kwenye kile watakachoamua kufanya kwenye maisha yao.

Cc:Kwa wazazi/walezi wotr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…