bellatomas
Member
- Oct 23, 2017
- 26
- 6
Ni kweli kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabadiliko yanahitajika sanaNi kweli kabisa
Maisha ni kupambana, nadhani inabidi tuache kulalamika na tujifunze ku-appreciate hata kwa hatua ndogo ambayo wazazi wamefanya tukasogea, kama mzazi kafanya wajibu wake kwa jasho na kupambana usome, ukimaliza lazima kwanza utambue mchango wao, pia ujue kuwa wewe ni msomi, elimu uliyopata ni nyenzo kubwa ya kuweza kujitegemea na kusonga mbele.Upo sawa. Tanzania mzazi yupo tyar kumsomesha mtoto wake india. Analipa million 10 kila mwaka. Miaka mi4 ni milion 40. Ila akimaliza chuo mzazi hawezi mpa hta m5 kma mtaji.
Mkuu umemuelewa vizuri kweli heradius12 alichokuwa anakimaanisha?Maisha ni kupambana, nadhani inabidi tuache kulalamika na tujifunze ku-appreciate hata kwa hatua ndogo ambayo wazazi wamefanya tukasogea, kama mzazi kafanya wajibu wake kwa jasho na kupambana usome, ukimaliza lazima kwanza utambue mchango wao, pia ujue kuwa wewe ni msomi, elimu uliyopata ni nyenzo kubwa ya kuweza kujitegemea na kusonga mbele.
Mimi naona vijana wengi hutuwajibiki vya kutosha na mwisho kuanza kutuma lawama za either kukosa mitaji na hata kulaumu wazazi kama hivi. Kuna nafasi (opportunities) nyingi hatuzigusi wala kuzishiriki kwasababu ya upofu wa kwamba eti mimi ni msomi siwezi fanya shughuli fulani, wakati huohuo mtu mwingine tena mwenye elimu ya chini kuliko wewe ana-survive na kuendesha maisha. Tubadilike, tuheshimu michango ya wazazi au walezi na tuwajibike.
Sio kwa habari hizo mkuu hapa tunaongelea ujasiriamaliMruhusu mtoto afuate anachokitaka upate wakina Chid Benz na Amber Lulu
Ndio. Ila kijana wao akitaka kujiajiri wanapata kigugumizi.Kinachosikitisha zaidi ni kwamba hao hao wazazi wanalalamika kila siku wanatamani wangejiajiri mapema.
YeahNdio. Ila kijana wao akitaka kujiajiri wanapata kigugumizi.
Mzazi alikatisha ndoto,Mimi nilikua napenda sana tennis..ila nilichezea kichapo siku moja baada yakutoroka shule kwenda kucheza tennis,,,ningeendelea i hope leo ningekua world top seed kibasa
Roger angenitambua vizuri
Ofcourse sir,wazazi wabaki kuwa washauri tu,Kuna rafiki yangu alikua anapenda kusoma masomo ya biashara ila wawazi wake walitaka akasome rural development kwa vile mtu mzee mmoja alisoma pale mtaani kwao akatusua. Hadi leo jamaa hajapata kazi so amebak kulalamika kwa wazazi.
Angalizo: Wazazi ni vyema mkabaki washauri sometimes vijana tunajua nini tunataka.
MajangaKweli kabisa mkuu, watu ukiwaambia wakupe mtaji hawataki kabisa, ila hela ya kuongeza mavyeti ndo ipo na still ukifeli lawama kibao
1. usi laumu mtu kwa kutofanikiwa kwako
2.changamoto inazo kutana nazo zikujenge utoke hapo ulipo upige hatua mbele zaidi
Kuna mtu kalaumiwa hapo?
Au wewe ni type ya mzazi mjuaji halafu maskini