Wazazi tumesahau kuwaandalia watoto vitu vya kimaisha. Tunakomalia elimu ya gharama huku ajira hakuna

Wazazi tumesahau kuwaandalia watoto vitu vya kimaisha. Tunakomalia elimu ya gharama huku ajira hakuna

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Kama wewe ni mzazi huu ni ushauri wako;

1. Msomeshe mwanao shule za gharama nafuu ila msimamie na tution juu, kisha Miliki mali nyingi ili umpe mtoto urithi hata kama mwanao akisoma kayumba siku ukifariki
litasema baba au mama jembe... ila sasa kosea lipeleke shule za milioni tatu.. limalize shule halafu usilipe mtaji wala nyumba ya urithi.. linasahau ada ulizokuwa unamlipia kila mwaka, milioni 3 linaona baba kilaza tu.

2. Live with intelligence. Invest, invest, invest.

3. Stop expensive expenses that aren’t asset based.

Expensive education should go proportionally with your revenue or assets. Expensive Education is overrated just ordinary schools are enough for any bright kid with learning resources at home.
 
Kama wewe ni mzazi huu ni ushauri wako

1. Live with intelligence.Invest, invest, invest

2. Stop expensive expenses that aren’t asset based.

Expensive education should go proportionally with your revenue or assets. Expensive Education is
overrated just ordinary schools are enough for any bright kid with learning resources at home.

3. msomeshe mwanao shule za gharama nafuu ila msimamie na tution juu, kisha Miliki mali nyingi ili umpe mtoto urithi hata kama mwanao akisoma kayumba siku ukifariki
litasema baba au mama jembe... ila sasa kosea lipeleke shule za milioni tatu.. limalize shule
halafu usilipe mtaji wala nyumba ya urithi.. linasahau ada ulizokuwa unamlipia kila mwaka
milioni 3 linaona baba kilaza tu
Hilo nalo neno.
 
Elimu yenyewe ya gharama mnaowasimanga hao wazazi kila siku ada 2m kwa mwaka. Hii haikuzuii kumuwekea mtoto akiba. Tuache visingizio.
 
Mtoto anamaliza form six ashakukamua karibia Milioni 25 au akiishia form 4 ashakamua milioni 21+. Anakuja kukosa ajira hata yakulipwa laki 2
 
Wazo lako ni zuri kwa mtu mwenye maisha ya kuunga unga ila kwa mtu mwenye pesa anaweza wasomesha watoto mwanzo mwisho private na akawapa watoto wake mtaji
 
uwa natafakari sana kuhusu usajili unaofanywa na simba/yanga kwanini uwe na tofauti kabisa na ule wa kengold au coastal!!??
 
Back
Top Bottom