Hili jambo kila siku tunaonya humu kuwa ,ukimpenda mtu usikubal imani zakikolon ziwatenganishe, be4 ujawaeleza wazaz wa huyo bint ilibid umpe daras huyo mtu wako kuwa ndoa haihusian na iman wala dini, dini haina nafas kwa maisha ya mtu, dini haikupeleki popote, baada ya kumtoa ktk slavery mindset ndpo ungewafuata hao walokole uchwara nao wapewe somo fupi mpka waingie kingi, wakigoma mtie mimba bint yao wala hawatapinga tena, dunia ya leo kuendelea kuamini mambo yakipumbv kama hayo ni kupoteza muda, usikubali ujinga ukukoseshe mke