Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

Kwa uvaaji huu wanayo haki ya kukataa mahari yenyewe.

Pia nyoa hicho kiduku pengine wanakuina mhuni usiye na mwelekeo.
 

Attachments

  • Screenshot_20250619_162740.jpg
    183.6 KB · Views: 32
Yapo mengi sana ukitaka ushauri sahihi weka wazi kila kitu lkn pia mtumie huyo mkeo kupeleza zaidi kama uyasemayo ni sahihi basi kuna wivu
 
Yeah mkuu ni hivo aunt zake wawili wameshasema hilo jambo wawo hawatokuwepo kweny sherehe kama nikisema nimuoe huyo binti
 
hv kumbe bado mnatoa mahali na kuoa?

Liverpool VPN kijana mwenzako anahangamia huku kwa kukosa maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…