Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

Nitangulize samahani zangu kwa wakubwa nitakao wakwaza lakini uzi huu ni kutaka ushauri tu hvyo naomba mawazo yenu

Iko hivi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kwa muda wa miaka mi 3 sasa,
Tulianza mahusiano tukiwa mkoa mmoja (X), then yeye alipata kazi mkoa mwingine (y) ila ni mikoa karibu nauli n 8-10k tu

Mkoa huu (X) ndipo familiya yake ilipo (ambao ni ndugu zake anapo binti, yeye mzazi wake mmoja ameshatangulia mbele za haki hivyo yuko na baba tu aishie mkoa (Z)

Hivyo kwa muda wote huo wa mahusiano tuliweka mipango mbali mbali na tulikuwa tunaweza kutana hata kabla yeye ya kuwa na likizo alikuwa akija huu mkoa (X)ambapo pia ndugu zake wapo tunakutana maana mimi pia nilikuwa naish mkoa huo huo

Sasa shida imekuja tokea pale nilipo taka kuanza taratbu za kupeleka mahari kwa mzazi wake mkoa(Z)
Ndipo ndugu yake mwngne(binti hakai kwa huyu ndugu) amabye naye anishi mkoa (X) akaanza kupeleka taarifa kwa ndugu zake wengne na mzee wake kuwa nilishawahi kukutana na huyo binti kimwili na alishawahi kulala kwangu, taarifa hizo alizipata kwa msismamizi wa binti alipokuwa anafanyia kazi mkoa (y)

Ila hawakuwa wanauhakka kuwa ni kweli au laa ndio maana sisi hatukuwa na woga wa kuendelea na ratiba nyngne za mahari

Aliwaambia wasipokee mahari yangu na mambo mengne yasieendelee kwasababu mimi sifai kuwa na binti yao ni kama simuheshimu binti yao (NB:binti sijamkuta kigori na pia mahali walikuwa wamenipangia 3M, lakini baada ya presha hiyo kuwa kubwa wamekataa nisiipeleke hawatopokea)

Ila nilikuwa nimeshatoa posa kwa ndugu anapoish binti masna hayo ndiyo yalikuwa maelekezo ya mzee wake aishie mko (Z)

Tulitarajia baada ya kutoa Posa ndo tuende kwa Mzee wa binti na washenga wangu tukatoe mahari, ila ndugu yake akaamua kuanzisha hayo mengine

Msimamo wa binti ni kutaka kuwa na mimi ila ndugu zake ndio hawataki kusikia hilo
Naombeni mawazo yenu wakuu
“Bro, usikate tamaa. Kama kweli unampenda na unataka kumuoa kiheshima, tafuta wazee au mtu wa heshima wa upande wao akupeleke rasmi. Omba msamaha kama kuna makosa, kisha onesha nia yako ya ndoa kwa heshima. Usitukane wala kulazimisha. Ukiona wanakataa bila sababu, na msichana mwenyewe anakutaka, mnaweza kufunga ndoa kisheria – lakini jaribu kila njia ya amani kwanza.”
 
Oa Familia jirani na Familia hiyo hiyo, hiyo Familia inashida mpaka hapo geuka tembeaaaa ukilazimisha hata kutia mimba watakusumbua Sanaa Hao, Kuna mtu alifanya hivyo binti akafariki akiwa na mimba wakamzilia jamaa kwamba amle nyama, Kuna watu wanaroho mbayaaa hrf ni fukara! Kama hawataki wanawake ni wengi hom boy hiyo Picha sio yakuchora ni kuangalia hrf unasepa!
 
Kuna vingi umeficha kwenye andiko lako!yaani badala ya familia yako kukugomea usioe mwanamke asiye na bikra,familia ya mke inakukatalia usimuoe mtoto wao asiye na bikra?☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️
 
Sijaficha kitu mkuu ni vile tu binti anasema familia yake n ya hvyo kila mtu anamisimamo yake na anapenda kuonekana yeye ndo sahihi kuliko wengine
 
“Bro, usikate tamaa. Kama kweli unampenda na unataka kumuoa kiheshima, tafuta wazee au mtu wa heshima wa upande wao akupeleke rasmi. Omba msamaha kama kuna makosa, kisha onesha nia yako ya ndoa kwa heshima. Usitukane wala kulazimisha. Ukiona wanakataa bila sababu, na msichana mwenyewe anakutaka, mnaweza kufunga ndoa kisheria – lakini jaribu kila njia ya amani kwanza.”
Ndo niko najaribu kufanya hivyo mkuu
 
Nitangulize samahani zangu kwa wakubwa nitakao wakwaza lakini uzi huu ni kutaka ushauri tu hvyo naomba mawazo yenu

Iko hivi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kwa muda wa miaka mi 3 sasa,
Tulianza mahusiano tukiwa mkoa mmoja (X), then yeye alipata kazi mkoa mwingine (y) ila ni mikoa karibu nauli n 8-10k tu

Mkoa huu (X) ndipo familiya yake ilipo (ambao ni ndugu zake anapo binti, yeye mzazi wake mmoja ameshatangulia mbele za haki hivyo yuko na baba tu aishie mkoa (Z)

Hivyo kwa muda wote huo wa mahusiano tuliweka mipango mbali mbali na tulikuwa tunaweza kutana hata kabla yeye ya kuwa na likizo alikuwa akija huu mkoa (X)ambapo pia ndugu zake wapo tunakutana maana mimi pia nilikuwa naish mkoa huo huo

Sasa shida imekuja tokea pale nilipo taka kuanza taratbu za kupeleka mahari kwa mzazi wake mkoa(Z)
Ndipo ndugu yake mwngne(binti hakai kwa huyu ndugu) amabye naye anishi mkoa (X) akaanza kupeleka taarifa kwa ndugu zake wengne na mzee wake kuwa nilishawahi kukutana na huyo binti kimwili na alishawahi kulala kwangu, taarifa hizo alizipata kwa msismamizi wa binti alipokuwa anafanyia kazi mkoa (y)

Ila hawakuwa wanauhakka kuwa ni kweli au laa ndio maana sisi hatukuwa na woga wa kuendelea na ratiba nyngne za mahari

Aliwaambia wasipokee mahari yangu na mambo mengne yasieendelee kwasababu mimi sifai kuwa na binti yao ni kama simuheshimu binti yao (NB:binti sijamkuta kigori na pia mahali walikuwa wamenipangia 3M, lakini baada ya presha hiyo kuwa kubwa wamekataa nisiipeleke hawatopokea)

Ila nilikuwa nimeshatoa posa kwa ndugu anapoish binti masna hayo ndiyo yalikuwa maelekezo ya mzee wake aishie mko (Z)

Tulitarajia baada ya kutoa Posa ndo tuende kwa Mzee wa binti na washenga wangu tukatoe mahari, ila ndugu yake akaamua kuanzisha hayo mengine

Msimamo wa binti ni kutaka kuwa na mimi ila ndugu zake ndio hawataki kusikia hilo
Naombeni mawazo yenu wakuu
TAFUTA PESA WEWE BOYA
 
3M kwa ajili ya kununua matatizo?
Ni rahisi tu,mjaze mimba akizaa chukua mtoto wako,utelezi unapatikana kirahisi sana bila ya matatizo ya kulea mtoto wa watu wengine.
 
Demu wako huyu ni msomi wa level gan kwanza,,kwanini ameruhusu wazazi wake wamuingilie kwenye maisha yake ya kupata mme,wanamulaani pakubwa sana na madhara yake ni makubwa sana..wazazi kazi Yao ni kubariki ndoa maana ni jambo la heri sio kuingilia mahusiano ya mtoto.... mwambie demu wako km ni kweli yupo pamoja na ww aitishe kikao Cha ukoo na kuwaeleza wazee wa ukoo na pia yeye atoe misimamo yake,,,koo zetu za kiafrika zinamaagano ya kimila sana..akishindwa kumaliza migogoro na ndugu zake yeye mwenyew mpige chini ukilazimisha atakuletea shida kubwa sana kwenye maisha yako..
 
Kwani Lazima Mzee,,,Maisha Yako,,,Pesa Zako,,,Moyo Wako Yanini Kujitafutia Mizozo Hovyo Ya Kulazimisha Mambo...
 
Demu wako huyu ni msomi wa level gan kwanza,,kwanini ameruhusu wazazi wake wamuingilie kwenye maisha yake ya kupata mme,wanamulaani pakubwa sana na madhara yake ni makubwa sana..wazazi kazi Yao ni kubariki ndoa maana ni jambo la heri sio kuingilia mahusiano ya mtoto.... mwambie demu wako km ni kweli yupo pamoja na ww aitishe kikao Cha ukoo na kuwaeleza wazee wa ukoo na pia yeye atoe misimamo yake,,,koo zetu za kiafrika zinamaagano ya kimila sana..akishindwa kumaliza migogoro na ndugu zake yeye mwenyew mpige chini ukilazimisha atakuletea shida kubwa sana kwenye maisha yako..
Yeye ana certificate tu
 
Nitangulize samahani zangu kwa wakubwa nitakao wakwaza lakini uzi huu ni kutaka ushauri tu hvyo naomba mawazo yenu

Iko hivi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kwa muda wa miaka mi 3 sasa,
Tulianza mahusiano tukiwa mkoa mmoja (X), then yeye alipata kazi mkoa mwingine (y) ila ni mikoa karibu nauli n 8-10k tu

Mkoa huu (X) ndipo familiya yake ilipo (ambao ni ndugu zake anapo binti, yeye mzazi wake mmoja ameshatangulia mbele za haki hivyo yuko na baba tu aishie mkoa (Z)

Hivyo kwa muda wote huo wa mahusiano tuliweka mipango mbali mbali na tulikuwa tunaweza kutana hata kabla yeye ya kuwa na likizo alikuwa akija huu mkoa (X)ambapo pia ndugu zake wapo tunakutana maana mimi pia nilikuwa naish mkoa huo huo

Sasa shida imekuja tokea pale nilipo taka kuanza taratbu za kupeleka mahari kwa mzazi wake mkoa(Z)
Ndipo ndugu yake mwngne(binti hakai kwa huyu ndugu) amabye naye anishi mkoa (X) akaanza kupeleka taarifa kwa ndugu zake wengne na mzee wake kuwa nilishawahi kukutana na huyo binti kimwili na alishawahi kulala kwangu, taarifa hizo alizipata kwa msismamizi wa binti alipokuwa anafanyia kazi mkoa (y)

Ila hawakuwa wanauhakka kuwa ni kweli au laa ndio maana sisi hatukuwa na woga wa kuendelea na ratiba nyngne za mahari

Aliwaambia wasipokee mahari yangu na mambo mengne yasieendelee kwasababu mimi sifai kuwa na binti yao ni kama simuheshimu binti yao (NB:binti sijamkuta kigori na pia mahali walikuwa wamenipangia 3M, lakini baada ya presha hiyo kuwa kubwa wamekataa nisiipeleke hawatopokea)

Ila nilikuwa nimeshatoa posa kwa ndugu anapoish binti masna hayo ndiyo yalikuwa maelekezo ya mzee wake aishie mko (Z)

Tulitarajia baada ya kutoa Posa ndo tuende kwa Mzee wa binti na washenga wangu tukatoe mahari, ila ndugu yake akaamua kuanzisha hayo mengine

Msimamo wa binti ni kutaka kuwa na mimi ila ndugu zake ndio hawataki kusikia hilo
Naombeni mawazo yenu wakuu
Mahali milioni 3 unaona ukoo mzima?,
Huu si ubwege huu,Binti watu wameshamtomba wewe umeataka kumuokoa wazazi wapumbavu wanakaza,na wewe unalazimisha?
Upo sawa kweli kichwani?
 
Mwenzako mchaga anataka kuoa mkurya posa kapeleka sasa mahari wanataka ngombe 30 jamaa wakawashusha hadi 20 wazee wamegoma kabisaa sasa dogo analia tu haelewi kabisa
 
Back
Top Bottom