βBro, usikate tamaa. Kama kweli unampenda na unataka kumuoa kiheshima, tafuta wazee au mtu wa heshima wa upande wao akupeleke rasmi. Omba msamaha kama kuna makosa, kisha onesha nia yako ya ndoa kwa heshima. Usitukane wala kulazimisha. Ukiona wanakataa bila sababu, na msichana mwenyewe anakutaka, mnaweza kufunga ndoa kisheria β lakini jaribu kila njia ya amani kwanza.βNitangulize samahani zangu kwa wakubwa nitakao wakwaza lakini uzi huu ni kutaka ushauri tu hvyo naomba mawazo yenu
Iko hivi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kwa muda wa miaka mi 3 sasa,
Tulianza mahusiano tukiwa mkoa mmoja (X), then yeye alipata kazi mkoa mwingine (y) ila ni mikoa karibu nauli n 8-10k tu
Mkoa huu (X) ndipo familiya yake ilipo (ambao ni ndugu zake anapo binti, yeye mzazi wake mmoja ameshatangulia mbele za haki hivyo yuko na baba tu aishie mkoa (Z)
Hivyo kwa muda wote huo wa mahusiano tuliweka mipango mbali mbali na tulikuwa tunaweza kutana hata kabla yeye ya kuwa na likizo alikuwa akija huu mkoa (X)ambapo pia ndugu zake wapo tunakutana maana mimi pia nilikuwa naish mkoa huo huo
Sasa shida imekuja tokea pale nilipo taka kuanza taratbu za kupeleka mahari kwa mzazi wake mkoa(Z)
Ndipo ndugu yake mwngne(binti hakai kwa huyu ndugu) amabye naye anishi mkoa (X) akaanza kupeleka taarifa kwa ndugu zake wengne na mzee wake kuwa nilishawahi kukutana na huyo binti kimwili na alishawahi kulala kwangu, taarifa hizo alizipata kwa msismamizi wa binti alipokuwa anafanyia kazi mkoa (y)
Ila hawakuwa wanauhakka kuwa ni kweli au laa ndio maana sisi hatukuwa na woga wa kuendelea na ratiba nyngne za mahari
Aliwaambia wasipokee mahari yangu na mambo mengne yasieendelee kwasababu mimi sifai kuwa na binti yao ni kama simuheshimu binti yao (NB:binti sijamkuta kigori na pia mahali walikuwa wamenipangia 3M, lakini baada ya presha hiyo kuwa kubwa wamekataa nisiipeleke hawatopokea)
Ila nilikuwa nimeshatoa posa kwa ndugu anapoish binti masna hayo ndiyo yalikuwa maelekezo ya mzee wake aishie mko (Z)
Tulitarajia baada ya kutoa Posa ndo tuende kwa Mzee wa binti na washenga wangu tukatoe mahari, ila ndugu yake akaamua kuanzisha hayo mengine
Msimamo wa binti ni kutaka kuwa na mimi ila ndugu zake ndio hawataki kusikia hilo
Naombeni mawazo yenu wakuu
Sijaficha kitu mkuu ni vile tu binti anasema familia yake n ya hvyo kila mtu anamisimamo yake na anapenda kuonekana yeye ndo sahihi kuliko wengineKuna vingi umeficha kwenye andiko lako!yaani badala ya familia yako kukugomea usioe mwanamke asiye na bikra,familia ya mke inakukatalia usimuoe mtoto wao asiye na bikra?βΉοΈβΉοΈβΉοΈβΉοΈβΉοΈβΉοΈβΉοΈ
Ndo niko najaribu kufanya hivyo mkuuβBro, usikate tamaa. Kama kweli unampenda na unataka kumuoa kiheshima, tafuta wazee au mtu wa heshima wa upande wao akupeleke rasmi. Omba msamaha kama kuna makosa, kisha onesha nia yako ya ndoa kwa heshima. Usitukane wala kulazimisha. Ukiona wanakataa bila sababu, na msichana mwenyewe anakutaka, mnaweza kufunga ndoa kisheria β lakini jaribu kila njia ya amani kwanza.β
TAFUTA PESA WEWE BOYANitangulize samahani zangu kwa wakubwa nitakao wakwaza lakini uzi huu ni kutaka ushauri tu hvyo naomba mawazo yenu
Iko hivi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kwa muda wa miaka mi 3 sasa,
Tulianza mahusiano tukiwa mkoa mmoja (X), then yeye alipata kazi mkoa mwingine (y) ila ni mikoa karibu nauli n 8-10k tu
Mkoa huu (X) ndipo familiya yake ilipo (ambao ni ndugu zake anapo binti, yeye mzazi wake mmoja ameshatangulia mbele za haki hivyo yuko na baba tu aishie mkoa (Z)
Hivyo kwa muda wote huo wa mahusiano tuliweka mipango mbali mbali na tulikuwa tunaweza kutana hata kabla yeye ya kuwa na likizo alikuwa akija huu mkoa (X)ambapo pia ndugu zake wapo tunakutana maana mimi pia nilikuwa naish mkoa huo huo
Sasa shida imekuja tokea pale nilipo taka kuanza taratbu za kupeleka mahari kwa mzazi wake mkoa(Z)
Ndipo ndugu yake mwngne(binti hakai kwa huyu ndugu) amabye naye anishi mkoa (X) akaanza kupeleka taarifa kwa ndugu zake wengne na mzee wake kuwa nilishawahi kukutana na huyo binti kimwili na alishawahi kulala kwangu, taarifa hizo alizipata kwa msismamizi wa binti alipokuwa anafanyia kazi mkoa (y)
Ila hawakuwa wanauhakka kuwa ni kweli au laa ndio maana sisi hatukuwa na woga wa kuendelea na ratiba nyngne za mahari
Aliwaambia wasipokee mahari yangu na mambo mengne yasieendelee kwasababu mimi sifai kuwa na binti yao ni kama simuheshimu binti yao (NB:binti sijamkuta kigori na pia mahali walikuwa wamenipangia 3M, lakini baada ya presha hiyo kuwa kubwa wamekataa nisiipeleke hawatopokea)
Ila nilikuwa nimeshatoa posa kwa ndugu anapoish binti masna hayo ndiyo yalikuwa maelekezo ya mzee wake aishie mko (Z)
Tulitarajia baada ya kutoa Posa ndo tuende kwa Mzee wa binti na washenga wangu tukatoe mahari, ila ndugu yake akaamua kuanzisha hayo mengine
Msimamo wa binti ni kutaka kuwa na mimi ila ndugu zake ndio hawataki kusikia hilo
Naombeni mawazo yenu wakuu
3M kwa ajili ya kununua matatizo?Nitangulize samahani zangu kwa wakubwa nitakao wakwaza lakini uzi huu ni kutaka ushauri tu hvyo naomba mawazo yenu

Tafuta mwingine usilazimisheNlikubali kuwa nimefanya makosa kama wanavyosema ila nilipenda nimpe binti heshima yake kama wazazi wanavyotaka ila naona wananiwekea ugumu sana kweny hilo
Hiyo n kuficha identinty kwasababu ni currebt situation mkuuSASA X X Mara Y Mara Z What????
Yeye ana certificate tuDemu wako huyu ni msomi wa level gan kwanza,,kwanini ameruhusu wazazi wake wamuingilie kwenye maisha yake ya kupata mme,wanamulaani pakubwa sana na madhara yake ni makubwa sana..wazazi kazi Yao ni kubariki ndoa maana ni jambo la heri sio kuingilia mahusiano ya mtoto.... mwambie demu wako km ni kweli yupo pamoja na ww aitishe kikao Cha ukoo na kuwaeleza wazee wa ukoo na pia yeye atoe misimamo yake,,,koo zetu za kiafrika zinamaagano ya kimila sana..akishindwa kumaliza migogoro na ndugu zake yeye mwenyew mpige chini ukilazimisha atakuletea shida kubwa sana kwenye maisha yako..
Mahali milioni 3 unaona ukoo mzima?,Nitangulize samahani zangu kwa wakubwa nitakao wakwaza lakini uzi huu ni kutaka ushauri tu hvyo naomba mawazo yenu
Iko hivi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kwa muda wa miaka mi 3 sasa,
Tulianza mahusiano tukiwa mkoa mmoja (X), then yeye alipata kazi mkoa mwingine (y) ila ni mikoa karibu nauli n 8-10k tu
Mkoa huu (X) ndipo familiya yake ilipo (ambao ni ndugu zake anapo binti, yeye mzazi wake mmoja ameshatangulia mbele za haki hivyo yuko na baba tu aishie mkoa (Z)
Hivyo kwa muda wote huo wa mahusiano tuliweka mipango mbali mbali na tulikuwa tunaweza kutana hata kabla yeye ya kuwa na likizo alikuwa akija huu mkoa (X)ambapo pia ndugu zake wapo tunakutana maana mimi pia nilikuwa naish mkoa huo huo
Sasa shida imekuja tokea pale nilipo taka kuanza taratbu za kupeleka mahari kwa mzazi wake mkoa(Z)
Ndipo ndugu yake mwngne(binti hakai kwa huyu ndugu) amabye naye anishi mkoa (X) akaanza kupeleka taarifa kwa ndugu zake wengne na mzee wake kuwa nilishawahi kukutana na huyo binti kimwili na alishawahi kulala kwangu, taarifa hizo alizipata kwa msismamizi wa binti alipokuwa anafanyia kazi mkoa (y)
Ila hawakuwa wanauhakka kuwa ni kweli au laa ndio maana sisi hatukuwa na woga wa kuendelea na ratiba nyngne za mahari
Aliwaambia wasipokee mahari yangu na mambo mengne yasieendelee kwasababu mimi sifai kuwa na binti yao ni kama simuheshimu binti yao (NB:binti sijamkuta kigori na pia mahali walikuwa wamenipangia 3M, lakini baada ya presha hiyo kuwa kubwa wamekataa nisiipeleke hawatopokea)
Ila nilikuwa nimeshatoa posa kwa ndugu anapoish binti masna hayo ndiyo yalikuwa maelekezo ya mzee wake aishie mko (Z)
Tulitarajia baada ya kutoa Posa ndo tuende kwa Mzee wa binti na washenga wangu tukatoe mahari, ila ndugu yake akaamua kuanzisha hayo mengine
Msimamo wa binti ni kutaka kuwa na mimi ila ndugu zake ndio hawataki kusikia hilo
Naombeni mawazo yenu wakuu
Samahani kwa uandishi mkuuMkuu x zimezidi anyway pole
Hapo sasa, ππππHawa wazazi wanategemea mpaka mtu afikie kupeleka mahari Kwa hizi kizazi Cha gen z anakua Bado hajaichapa???