Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

Mwenzako mchaga anataka kuoa mkurya posa kapeleka sasa mahari wanataka ngombe 30 jamaa wakawashusha hadi 20 wazee wamegoma kabisaa sasa dogo analia tu haelewi kabisa
Duhh hizi scenario n ngumu sana
 
Mkuu iyoo mahari ilete tunywe wana
 
Achana nae mkuu tafuta mwanamke mwingine utaishi vipi na mwanamke ambae ndugu zake hwakuhitaji?
 
Mwenzako mchaga anataka kuoa mkurya posa kapeleka sasa mahari wanataka ngombe 30 jamaa wakawashusha hadi 20 wazee wamegoma kabisaa sasa dogo analia tu haelewi kabisa
Duh hilo nalo balaa jamani Ng'ombe 20?
 
Ili upate ushauri wa kina, fungua hizo code za xxxx na yyyy wazawa na wenyeji wa hiyo mikoa watakufungua akili juu ya nini ufanye.
Fungua code utapata ushauri wa kutatua jambo lako alafu unawaomba moods wafute Uzi wako
 
Wanamuonea wivu anaolewa hawana lolote nani ambaye hafanyi chochote kwa dunia ya sasa.
 
Sema wamekukuta bwegee sanaa aisee hao jamaa ningewapa jibu mojaa nahisi wangeenda polisii..kwani mwanae kaliwa mara ngapi na wahuni na wala hawakumuoaa..! shwain sana achana nae maana kuoa familia haijielewi ni msiba
 
MWAMBIE BINTI AWAPOKEE WAZUNGU ABEBE MIMBA!

NA KWAKUA AMESHAZIDI 18 ANZA KUISHI NAE WAKIJA KIZEMBE PELEKA POLISI WASHTAKI !KWANINI WAKATAE RUNGU LIPENYE KWA BINTI YAO!!?
 
Mara nyingi tunapuuzia red flags kali mapema, tunajipa moyo kwamba mbeleni mambo yatakaa sawa. Hii ni indicator mbaya sana jamaa kaoneshwa ya kukataliwa na baba na shangazi wa huyo mwanamke.
 
MLETA MADA ISHI HAPA. USIFOSI MAMBO KABISA.
 
Kuishi na mwanamke ambae kaal hawakutaki ni mtihani kweli kweli.
 
kwahiyo wewe ukimuacha bikra itarudi akija mwengine au? Hao wakwe zako kama kuna hata mmoja kamaliza kidato cha nne nakupa buku
Baba mzazi hajaulizia, ila ndugu yake ambaye ni shangazi yake tuliye naye huu mkoa mimi nilipo ndo ameamua kufikisha hizo taarifa kwa baba wa binti, hivyo mzee akaona nisiendelee na binti yake
 
Huyo Baba mzazi hana akili! Dunia ya sasa ukiona mtu anakuja kutoa mahari unamshukuru Mungu. Sasa kama bint bikra yake ilishatolewa ukikataa mahari itarudi?
Mwenye bahati habahatishi. Mimi binti yangu kila siku naomba apate mchumba sipati hata fununu, wengine wanapata wachumba, ati baba anakataa. Unakataa utamuoa wewe? Wazazi wengine tupo mataahira tu. Njo uchukue wangu na mahari ulipe laki moja tu ingawa ana masters na ni engineer
 
Nakuja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…