Wazazi wa mchumba wa MC pilipili kataeni anayofanyiwa mtoto wenu

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Ujue kuna mambo ya ajabu sijawahi kuona ni upuuzi na unyanyasaji kwa mwanamke...
Mc pilipili mwanamke hujamuoa,kumtembeza kwenye media anamaanisha nn?
Hivi what if wakimwagana unadhani huyu mwanamke atakuwa kwenye mazingira gani?
Ninachakishangaa wazazi wa huyu mwanamke wako wapi wakati mtoto wao anatembezwa kwenye radio...wanakubali vp MTU hajaoa anamtembeza mwanamke km mke wake!?
Lengo la media tour ni nini? Wao wasanii?
Wanajinasibu wao walokole hivi ulokole gani unaoruhusu upuuzi km huo?
Eti wanadai hawajasex ni urongo kabisa mazingira yote yanaonyesha wanafanya mapenzi..
Wanaume wa dar wana matatizo sana...
Eti anajinadi nimelipa mahari mil5 !!!!! Wakati mwanamke ni wa watu sio bikra ujinga tu...angekuwa bikra ingekuwaje


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali Mc pilipili si wa Dar ni wakuja kama wewe tu yule .
Wanaume wa mikona mkiona vituko vya wenzenu wakivifanyia Dar basi mnawakana kimtindo na kuwabatiza uwana Daslam!
Yule ndugu yenu yule mchukukueni tu mkatete nae !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachokuuma hapo ni nini hasa?

Kwani hao wazazi wa binti hawajui binti yao anaolewa na comedian? What if hyo ni part of comedy
 
Da ya wazaramo hata wew sio kwako..hapa nakusudia wanaume wanaoishi dar wanapenda maigizo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…