Wazazi wa mchumba wa MC pilipili kataeni anayofanyiwa mtoto wenu

Wazazi wa mchumba wa MC pilipili kataeni anayofanyiwa mtoto wenu

Ujue kuna mambo ya ajabu sijawahi kuona ni upuuzi na unyanyasaji kwa mwanamke...
Mc pilipili mwanamke hujamuoa,kumtembeza kwenye media anamaanisha nn?
Hivi what if wakimwagana unadhani huyu mwanamke atakuwa kwenye mazingira gani?
Ninachakishangaa wazazi wa huyu mwanamke wako wapi wakati mtoto wao anatembezwa kwenye radio...wanakubali vp MTU hajaoa anamtembeza mwanamke km mke wake!?
Lengo la media tour ni nini? Wao wasanii?
Wanajinasibu wao walokole hivi ulokole gani unaoruhusu upuuzi km huo?
Eti wanadai hawajasex ni urongo kabisa mazingira yote yanaonyesha wanafanya mapenzi..
Wanaume wa dar wana matatizo sana...
Eti anajinadi nimelipa mahari mil5 !!!!! Wakati mwanamke ni wa watu sio bikra ujinga tu...angekuwa bikra ingekuwaje


Sent using Jamii Forums mobile app
Komaa na Maisha yako we mtoto

Tabia ya kuhangaika na ya watu wakati kinywa kinatoa harufu haisaidii
 
Back
Top Bottom