Wazazi wa mchumba wa MC pilipili kataeni anayofanyiwa mtoto wenu

Pilipili anajiona mwenye bahati sana kumpata yule dada.
Tafakari sana machozi yake.
 
Kila mtu na maisha yake ilimradi hamkwazi mtu hata akienda piga interview BBC na CNN ni fresh tu, kila MTU apambane na hali yake
 
Pili pili alivo laini laini vile. Kwa lile goma ataliweza kweli? Lile linafaa wazee wa ngumu nyeusi. Unakamua kama unaendesha guta.full kuweka alarm kila baada ya muda inakushtua unamenya. Sasa mchizi ninavimuonaga vileeeeee anyway ngoja tuone.
 
Lkn jaman tuache matani hata ukisoma novels za wazungu zinazohusu mahusiano, ukweli utaona mke analazimika Sana kuwa mtu wa staha,wenye haiba, asiye penda show off, mwenye hekima ya kusoma nyakati na kuucheka. mke hatakiwi kuwa limbukeni, mtu wa tabia zenye ukakasi, mtu wa kuacha mwanya wa kusemwasemwa na mbaya zaidi mtu wa kuonekana Sana.

Sasa ukiona mke umepata mume/mchumba anakusababisha kuwa mtu wa kuonekana Sana, mtu wa kusemwasemwa, mtu wa kupewa majina majina Basi huyo mume ana shida Sana.

Yawezekana kbs huyo mke/ mchumba ni bikra but why should we know about her virginity? Why should we know about her dowry?

Kwann anatoa upenyo wa mkewe kuongelewa? Tayar Kesha deprive her privacy. Manake wanna duu hawa duu... Do we have to care? Na yy kajuaje Kama bikra Kama hawajawah kuduu?

Basi tuu nimechukia
 
Wanaume wa dar wapuuzi sana,wachache wanajitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu angalia yako achana personal life ya mtu. Then usitake watu waishi kama unavyotaka wew kil mtu ana life style yake as long binti na familia yake wameridhikavww kinakuuma nini?...wawe wamesex au bado huo suala lao binafsi.
 
Hana sifa za kuwa mwanaume wa dar..
ni mgogo fulan mshamba...

nimebahatika kusoma nae, shida ni ulimbukeni...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana umri gani maana matendo yake ni kama tulivyokuwa form 2 na zile mbwembwe za F.....age
 
Watu tuna shida zetu tusikilize zao za nini.???? Acha umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…