Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wazazi timizeni wajibu wenu. Mzigo wa kuwatunza mabinti zenu wamebebeshwa vijana ambao bado wanajitafuta
Mahusiano ya kimapenzi yamekua liability kwa kijana wa kiume. Vijana wa kiume wanashindwa kufanya maendeleo, ambao hawana vipato vya muendelezo wanaamua kununua makahaba ili kukwepa costs za posho ya sex na maintanance ya mahusiano
Hii yote ni kwa sababu wazazi wameshindwa kuwajibika na matunzo ya mabinti wao.
Binti yako kila siku anabadilisha mitindo ya kusuka nywele, binti yako anatumia simu ya gharama kubwa ambayo haujamnunulia wewe, mzazi unashindwa kuhoji hela anatoa wapi?
Mzazi unaruhusu vipi binti yako kuondoka nyumbani kwenda kupanga geto ukiwa haujui anafanya kazi gani yakumpa kipato cha uhakika?
Mzazi ndie mwenye wajibu wa kumuhudumia binti yake mpaka pale atakapopata kazi au kuolewa na kwenda kuishi na mumewe. Jukumu langu kama boyfriend ni ku-provide mapenzi sio pesa/matunzo.