Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,135
- 4,306
Msaada wa chakula cha siku moja.... Kwa mihula yote katika mwaka. Nafikiri wa-review strategies za misaada yao.Hawa jamaa wao wamekijika kwenye kuinua ubora wa elimu mashuleni na moja ya program zao ni kusaidia chakula mashuleni kwa sababu wamebaini ni tatizo kubwa kwa wanafunzi kukaa shuleni tokea saa moja asubuhi mpaka saa kumi bila kula... So hawawezi kwenda kwenye Magereza coz it's not targeted people..
The output is almost negligible.