Wazazi wakataa sadaka ya kuchinja iliyotolewa na Waarabu, wakidai watoto wao watatolewa kafara

Msaada wa chakula cha siku moja.... Kwa mihula yote katika mwaka. Nafikiri wa-review strategies za misaada yao.

The output is almost negligible.
 
Inashangaza na kusikitisha kwa wakati mmoja.
 
Hapo wananchi wako sahihi kupata msaada. Japo habari ya kafara wanajua wao. Misaada inatulemaza sana na humu duniani hakuna cha bure.
 
Ni nani aliwaomba huo msaada wa nyama?
 
Muhimu hapo ni kutafuta cha kwako tu na sio kuanza kupanga usaidiwe nini itakuwa vichekesho.
Msaada inalazimishwa? Wamepeleka msaada, umekataliwa. Sasa hao kosa lao nini? Si wapeleke watapokubaliwa?
 
Lakini sio lazima kukubali hiyo sadaka pia ,, nadhani Kama kweli wanalengo la kutoa sadaka Basi walau wange wajengea visima vya maji , Who knows kuhusu usalama wa hizo nyama na usalama wa Afya za hao watakao pewa !?

Ila sadaka nyingi zinatolewa Mkuu na hapo sio usalama bali ni imani tofauti
Hayo ni kutokana na maneno yao wenyewe Imani

Sadaka tunatoa na kupokea sana iwe hela au chakula au visima au hata matibabu ni sadaka tu

Nyama zinatoka Saudia na watu wanakula bila kuuliza kwa sababu wanaopewa ni Waislam

Ningeongea kuhusu mimi binafsi ila sio vizuri kuongelea ulichotoa

Wanasema msaada huo unalenga kuwatoa watoto wao kafara How?

Hapo ndio nimeshangaa kabisa yaani mara Dini mara Kafara which is which?
 
A shit hole indeed
 
Hapo wananchi wako sahihi kupata msaada. Japo habari ya kafara wanajua wao. Misaada inatulemaza sana na humu duniani hakuna cha bure.
Unawasifia kukataa msaada wa nyama wakati wameomba msaada wa kujengewa ukuta, muhimu tukatae misaada yote hadi ya wazungu ili ndio tuweze kujitegemea ila sio unaletewa msaada wa condom unakubali ila sadaka ya nyama unaikataa.
 
Waupeleke Uzaramoni kule mbona shangwe zito.

Tena katoa muarabu anayeleta tende mwezi wa Ramadhan,hakuna mwenye shida na nyama ya sadaka.
 
Msaada wa chakula cha siku moja.... Kwa mihula yote katika mwaka. Nafikiri wa-review strategies za misaada yao.

The output is almost negligible.
Hiyo ni sadaka tu kuhusu misaada mbona wanajenga sana visima vya maji na mambo mengine, humu kuna mitizamo ya tofauti za kiimani na hasa watoaji wenyewe ni waarabu ndio kabisa.
 
Unawasifia kukataa msaada wa nyama wakati wameomba msaada wa kujengewa ukuta, muhimu tukatae misaada yote hadi ya wazungu ili ndio tuweze kujitegemea ila sio unaletewa msaada wa condom unakubali ila sadaka ya nyama unaikataa.
Nilikuwa nimesahau msaada wa Condoms 😭
 
Hiyo nyama si iliwe tu halafu kama itakuwa na madhara si Yesu yupo atawalinda jamani?Au amekuwa hana nguvu tena mara hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…