SoC02 Wazazi wakumbusheni watoto wenu kuwa...

SoC02 Wazazi wakumbusheni watoto wenu kuwa...

Stories of Change - 2022 Competition

Hamissi Hamza Jr

Senior Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
103
Reaction score
209
Cha Mzazi si cha Mtoto ila cha Mtoto ni cha mzazi hivyo jukumu na juhudi za kubadili maisha yao ni zao wenyewe.

Na Waambieni Wakumbuke kuwatendea wema Nyinyi Wazazi Wote wawili Maana Pepo zao zipo katikati Nyayo zenu na Duniani Mnaishi mala moja,

Wasisitizeni kuwa Thamani yao ni kubwa kuliko cha jirani na cha mwingine hivyo kwa namna yoyote wasikubali kuuza uaminifu wao kwa Tamaa ndogo ndogo,

Na Mwisho waambieni Maisha ni kitendawili Hakuna aijuae kesho wawe ni Wenye Heshima Na Kuishi kwa Upendo kwa kila mtu aijalishi Ni mkubwa au Mdogo,Awe Wanamjua au Hawamjui.

Pigia kura na sambaza Urithi huu kwa kizazi hiki na kijacho.
 
Upvote 1
Back
Top Bottom