Wazazi Wanaume tuwekeni mazingira mazuri Kwa watoto wetu

Mimi siyo Tajiri ila chanzo cha ugomvi kwa familia nyingi asilimia 80 ni umasikini
Mwanamke anakupenda ukiwa na nguvu za kiuchumi uchumi ukiyumba utatafutiwq sababu hadi aondoke. Umasikini nouma sana
 
Pole sana, umefikia wapi mpaka sasa kuupiga vita umasikini?
Nimeanza upya kuupiga umaskini Mzee wa
Mkuu,

Unaelewa kuwa hata familia ya Elon Musk tajiri wa kwanza duniani ina migogoro kibao?
Migogoro sio ya kiuchumi lakini mkuu labda Ile ambayo wanataka kuishi vile wanataka lakini sio vile waishi Elon Musk Anataka.

Au vipi Mzee wa Kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…