Wazazi Wanaume tuwekeni mazingira mazuri Kwa watoto wetu

Wazazi Wanaume tuwekeni mazingira mazuri Kwa watoto wetu

Fafanua mkuu
Wabongo wengi tukipata kazi,tunawaza kujenga+kununua usafiri..maisha huishia hapo. Tunasubr kustaafu. Watoto nao watajipambania wenyewe. Hyo cycle inaendelea kizazi hadi kizazi..ili uvunje hyo cycle unapaswa kubadili hyo mindset kwanza..
 
Nimekuelewa Sana mkuu.
Hili nalifanyia Kazi
 
Yeah fikiri tofauti mkuu..najua hauta eleweka kuanzia kwenye familia hadi marafiki.
Picha linaanza kwenye familia sieleweke pili marafiki wa Zamani wote wamenikimbia nimefulia.

Sasa nina marafiki wapya na Hawa naona ni cycle nzuri na baadhi Yao tumekutana humu Jf hadi kuonana live na Kula chakula pamoja kubwa zaidi kupanga mikakati ya Maisha pamoja.

Kwahiyo mkuu yaani marafiki wa mwanzo baadhi Yao nimewakata na kufuta namba zao Za simu maana naona hazina maana katika Maisha yangu Sasa..

Kuna mchizi alikuwa mwanangu Sana lakini nilikuwa namsaidia Sana yeye kiuchumi Sasa hivi Mimi Ni apeche alolo nikamwambia ndugu yangu hivi huu Ni urafiki au unafki unaniletea mana hakuna hata siku umeniambia mwanangu nimepiga bingo kula 10k hiyo soda zaidi ya Mimi kukusaidia wewe.

Mkuu huwezi Amini yangu mwezi wa 6 hadi leo hii hajanitafuta kabisa baada ya kumchana na nikaona Wacha nifute namba yake kabisa.

Oya wee jamaa kama upo humu Jf basi unajijua na umeshafahamu Mimi ni nani.
 
Mwanamke anakupenda ukiwa na nguvu za kiuchumi uchumi ukiyumba utatafutiwq sababu hadi aondoke. Umasikini nouma sana
Siaende kwani lazima kukaa naye kaam hakutaki usokifosi kwa shetani hiyo siku hakikisha umempakia kila kitu chake
 
Ukimwoa mwanamke anayekupenda unaishi kwa raha sana au ukiolewa na mwanaume ambaye mnapendana mtaishi na wala hamtafulia nakufilisika
 
Nimeanza upya kuupiga umaskini Mzee wa

Migogoro sio ya kiuchumi lakini mkuu labda Ile ambayo wanataka kuishi vile wanataka lakini sio vile waishi Elon Musk Anataka.

Au vipi Mzee wa Kazi?
Mimi naangazia tu kwamba mtoa mada kajikita sana kwenye kuweka vizuri uchumi na kufikiri kuwa ukiweka vizuri uchumi migogoro ndiyo unaimaliza.

Wakati sehemu nyingine ukiweka vizuri uchumi bila mipango mizuri ya kuondoa migogoro ndiyo unatengeneza migogoro m8ngine ya kugombea mali.

Kwa hiyo msifikiri mkishatengeneza uchumi tu ndiyo mmeepuka migogoro ya kifamilia.

Unaweza kujenga uchumi vizuri, lakini kama hujajiandaa kutokuwa na migogoro, huo uchumi mzuri ndio ukaleta migogoro zaidi.
 
Wabongo wengi tukipata kazi,tunawaza kujenga+kununua usafiri..maisha huishia hapo. Tunasubr kustaafu. Watoto nao watajipambania wenyewe. Hyo cycle inaendelea kizazi hadi kizazi..ili uvunje hyo cycle unapaswa kubadili hyo mindset kwanza..
Lack of;
capital, management eg miss use of resources, better plans, knowledge, experience, talent, risk taking, gvt support, commitment, better strategies, exposure, good customer care and new competition....means that a good idea may also be hindered by various factors to be effectively and efficiently executed.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Nimeanza upya kuupiga umaskini Mzee wa

Migogoro sio ya kiuchumi lakini mkuu labda Ile ambayo wanataka kuishi vile wanataka lakini sio vile waishi Elon Musk Anataka.

Au vipi Mzee wa Kazi?
Ata Billgets naye ni masikini mbona wamegawana mali na mkewe?
 
Back
Top Bottom