Paul Timoth
New Member
- Jul 26, 2021
- 1
- 8
Wazazi ni watu muhimu sana kwani wao ndio chanzo cha watoto ambao ndo utajiri wa Mungu, lakini haimaanishi kwamba kila wasemacho, wafanyacho na waamuacho ni sawa kwa sababu hua wana tabia ya kuamulia vitu watoto hao ambapo ni jambo zuri ila endapo amuzi ni sahihi.
Malezi ya mtoto huonyesha picha ya maisha yake ya baadae hivyo namna ya makuzi ya wazazi walio wengi kwasasa inaonesha madhara yake ambapo vijana wanalalamika hakuna ajira, hili ni kosa kwani wazazi wanatukuza kwa mtiririko au series ya maisha ambayo ndo inapelekea hali hii.
Wazazi walio wengi huwaambia watoto wao wasome, wafaulu vizuri, watafute ajira kwa maana nyingine huwafundisha watoto cha kufikiria na sio namna ya kufikiria ambapo hili ndo jambo la msingi ambalo litsaidia kujikwamua kiuchumi.
Tukufundishwa namna ya kufikiria ndio itakua rahisi kuweza kaweka katika vitendo yanayofundishwa mashuleni kwa mfano wanafunzi wa masomo ya sayansi wanafundishwa kuhusu umeme lakini unakuta shule yao ina matatizo ya upungufu wa umeme Jambo ambalo ni la aibu kubwa.
Wazazi wakiweza kufundisha watoto wao namna ya kufikira, kusikiliza maoni yao na kuonesha kujali katika jambo lolote dogo analofanya mtoto hata kutengeneza gari la bokilsi na kutampa mtoto ari ya kufikiria kitu kingine na kutengeneza kitu kingine tena na hapo sasa maendeleo ya kiuchumi ma teknolojia yatakua nje nje.