Wazazi wanavyochangia umasikini

Bado sijaona hoja ya msingi naona unazunguka zunguka tu.
Hivi kwa mfano watoto wako wakikuuliza kuhusu achievement yako utawajibu ni kwa sababu ya babu yenu huyo wala sio mimi huoni kwamba hata watoto wako watakudharau na kukuona kilaza

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mkuu nimwite vipi wakati ndio uhalisia? Kuzungumza ukweli haimaanishi kuwa sina mapenzi na mzazi.
Huyu ni kweli kabisa unamdharau.labda unampenda ndio.

Lakini ni wazi unamuona mbuzi tu.
 
Yes good point,100%.
Wanajiona wajuaji na kichwani ni empty boxes

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1]kwamba babu yenu hakununuaga viwanja kkoo enzi hizo,alikuwa anakula ujana tu.mpaka namimi na nyinyi tumekujakuwa wapangaji.

Hawa ndio wale jamaa wanakwambia utajiri wa MO ni baba yake yuleee,utajiri wa dangote ni bibi yake yule.yaani hawataki kuamini kwamba mtu anaweza kufanya jambo.
 
Yes good point,100%.
Wanajiona wajuaji na kichwani ni empty boxes

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Kwa iyo mkuu haumini kama kuna wazazi wajinga?

Naelewa kwamba hakuna mwanadamu aliyekamilika na hakuna mtoto ambaye atapata kila kitu kwenye malezi yake kutoka kwa wazazi wake, lakini bado naamini kuna wazazi wajinga.
 
Kwa iyo mkuu haumini kama kuna wazazi wajinga?

Naelewa kwamba hakuna mwanadamu aliyekamilika na hakuna mtoto ambaye atapata kila kitu kwenye malezi yake kutoka kwa wazazi wake, lakini bado naamini kuna wazazi wajinga.
Hatusemi wajinga hayo tunaita mapungufu ambayo kila mtu anayo.
Hayahusiani na mafanikio yako,hata kama baba yako ni mlevi inabidi upambane utoboe ili umuoneshe kwa vitendo kuwa pombe haifai,vinginevyo ukitumia nguvu na lugha mbovu kumsema atakuuliza mbona wewe haunywi pombe lakini bado ni kapuku?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Ndio hvyo mkuu,ndio wao ambao wanaamini hata ukizaliwa mbwa ulaya umetoboa maisha.
Hawajui kuwa hata ulaya kuna ombaomba

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Waafrika wana msemo wao wanasema mzazi hakosei
 
Hayo mapungufu unayoyaita wewe yakiwa kwenye malezi mzazi hawezi kukwepa kuwa mjinga malezi sio tu kukamilisha mahitaji muhimu mzazi anaweza akawa anatimiza wajibu wake lakini kishingo upande Kama kuna watoto wengi mzazi anaweza akawa anapendelea wengine anawabagua .....
 
Nakubaliana na wewe na huyu mzazi unayemzungumzia hapa ni baba na ana jina lake lingine anaitwa dingi na domokaya na man dojo walimuimba kwenye nyimbo yao.

Aina hii ya mzazi ni wanoko, bandidu na ni wajuaji sana na hata ukiwaita wajinga ni sawa tu!
 
Sasa unakuta dingi yeye ni ubabe tu kwa mtoto hakuna cha upendo wala amani mwishowe mtoto anakuwa kibaka au jambazi kabisa fuatilia familia za vibaka na wale wadada wanaojiuza utagundua shida kubwa sana kwenye malezi ambapo chanzo ni wazazi.
 
Kichekesho ni pale unapomuita mzazi wako "mjinga", wakati mpaka leo bado unaishi kwake. Wewe na elimu yako hujaweza kujenga hata kibanda cha makuti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kichekesho ni pale unapomuita mzazi wako "mjinga", wakati mpaka leo bado unaishi kwake. Wewe na elimu yako hujaweza kujenga hata kibanda cha makuti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena unakwenda mbali zaidi unatumia na jina lake katikati ya jina lako.[emoji1][emoji1]
 
Mtu mzima aliesoma shule miaka 14 na still neno "Diriki" anaandika "Diliki" really makes me nimshushe heshima kabisa
Miaka 14 hatusomi namna fasaha ya kuandika kiswahili peke yake,ndio maana unajua kuandika vyema ila wazazi wako unawaona wajinga.
Wewe Kiswahili ulijifunza wapi unakosa fluency namna hii?
Nimezaliwa nikakuta watu wanazungumza kiswahili.wewe umekisomea kabisa!!!!
Wewe hueshimu wazazi bali UNAWAOGOPA
Ukiwaheshimu pekee bila kuogopa cheo chao kwako,matokeo yake ndio haya ya kuita wazazi wajinga.
Tatizo ndio linapoanzia hapo
Tatizo lipo ndio,unaitaje wazazi wajinga??
Nakupa ushauri wa bure japo hujauomba kwamba unachofanya sasa hivi kama mzazi kwa watoto wako regardless watakuja kukupa matokeo ya jinsi ulivyokua at some point
Kikubwa ni kukomaa kufanya yaliyo mema yampasayo binaadam kufanya.
Sasa wewe jifanye wewe ni mzazi katili na punguani udhani kuna mtoto yeyote atakuja kukupa marks za juu,hilo sahau
Ni wewe ktk ule uzi wa jamaa yako kujilipua na bunduki ulimsifu kwamba kafanya jambo la kawaida kabisa,sishangai aina ya akili yako.
Watakupa marks utakazo stahili kutokana na wewe ulivyo wa treat walipokua wadogo
Ninachopinga mimi ni mzazi kuitwa mjinga.kuwaza hivi tayari ni dalili ya kukata tamaa katika upambanaji.
Eti "sio kumwongelea",mkuu naona upo kwenye bubble haupo kwenye reality,watoto wasikuongelee wewe kama nani hasa?Watakuongelea aidha kwa mazuri au mabaya yako uliyotenda

Usijidanganye kabisa
Hata wewe huwa unamuongelea baba yako,lakini kama kuna point unaamua kuropoka kwamba "baba yangu ni mjinga"hayo mazungumzo hayana hatma nzuri ktk maisha yako.
 
wewe unaweza kuelezea haibu yako??? hebu acha kufanya mambo magumu yaonekane mepesi.
Kwaio kama ataweza kuspeak out uo ujinga aloufanya mzee wake basi hatuambie na mazuri aliyoyafanya pia.
 
Kusoma masomo mengi hakukupi ruhusa ya kukosea

Acha ujinga
Kukosea ni ujinga!!!ama hujui maana ya ujinga??
Yaani kwavile unasoma vitu vingi (according to you) then tukupe ruhusa ya kutokujua kuongea Kiswahili wakati ni even lugha ya kuu kwenye taifa lako ni hakubaliki!
Humu hatuongei tunaadika.
It is very funny mtu kuitwa mjinga unalalamika hivyo,tukuite mwenye akili wakati ni uongo?
Hakuna sehemu nimelalamika kuitwa au kusikia mtu anaitwa mjinga.shida ni wewe kujua neno mjinga litumike wapi.
Huu nao ni ujinga.
Mimi kwangu feelings zako binafsi hazina nafasi chenye nafasi ni "UKWELI" tu,mengine pelekeni chooni huko
Chooni yanapelekwa mavi peke yake.
Mzazi kua mjinga ni proper assessment yangu as kutokana na experience yangu niliyokaa nao nikiwa mdogo
So baba na mama yako ni wajinga!!!siwezi kukupangia,hii ni imani yako.
As of now my life belongs to me and concenquencences of my decisions belong to me
Ni sahihi,iweje umlaumu mzazi kwamba hakufanya hiki na kile,wakati hata ukikosa nguo saa hizi unajua sababu haihusiani kabisa na baba yako!!!
My successes and my failures belong to me from 18years old up mpaka now.Ndio maana nipo free kutoa my honest assessment what they did as parents in those years I was 18 and under.
18 yrs ni maamuzi ya watu tu,hata wangeamua kusema ujitegemee ukiwa na miaka 5 ingewezekana.
Silalamikii yeyote maana my life belong to me now..nawapa ukweli when my life used to belong to them,they did not do a great job then
Great job ina sifa zipi??maana kwa mwingine ni kuachiwa mtaji wa biashara.
Eti ushafeli kupambana,mimi sipambani kama wewe,mimi ninaishi kwa kutumia ubongo wangu binafsi na so far ni rahisi mno,wewe unaepambana ndio nadhani una akili kidogo ndio maana unapambana
Mh,bado sioni hoja hapa.
Wanaopambana kwenye maisha ni strugglers,hawana akili za kutosha ndio maana wana struggle....to me,never struggled with my life economics!
Ndio maana una hasira na wazazi wako,wakati ni jukumu lako kupambania maisha yako.
Ku-struggle sio sifa ni upumbavu kwa wenye IQ ndogo kama nyie
Really!!!!
 
Mmmmmmhmn kuna ukweli mzito hapa .....
 
Baba yangu hajasoma ila nashukuru kiu na hali ya kusoma niliyokua nayo imebadilisha kila kitu kwetu na jamii iliyonizunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…