Wazazi wanavyochangia umasikini

Kauli ya mzazi hakosei ni ya kipuuzi sana, inawapa viburi wajione wako sahihi kwa kila kitu wakati wengi tu wazinguaji. Tunapolaumu watoto tusiwasahau wazazi wao maana wana mchango kwa hao watoto kuwa hivyo walivyo.
 
Kuna wakati huwa ninakuelewa.
 
hata kama alikuwa mjinga vipi mkuu...UWE NA STAHA NA MZAZI WAKO........kuwa na weledi kidogo tuu.....ishu hapa ni KUHESHIMU....thats all....
 
Wazee wetu wana mitazamo ya hovyo sana, inafikia hatua mtu unakata mawasiliano na mzazi wako kisa anataka akuone kama mtoto mdogo wakati umeshakuwa na familia yako na unajitegemea.......watoto waliozaliwa zama hizi ndo watafaidi maisha, maana wazazi wao wapo kisasa zaidi na wana mitazamo ya kisasa.
 
Ha ha ha ha haa

Ni privilege [emoji23][emoji23]
 
hata kama alikuwa mjinga vipi mkuu...UWE NA STAHA NA MZAZI WAKO........kuwa na weledi kidogo tuu.....ishu hapa ni KUHESHIMU....thats all....
Naunga mkono.

Moral civility is more valuable than material civility, hii ni kwa mujibu wa maandiko matakatifu.
 
They will threaten you with words like 'utalaaniwa' 'utatengwa na ukoo' and lot of blah blah......but in real sense they practice sorcery trying to terrorize with evil spells that may affect you psychologically and think that you have to go back to reconcile with their dark powers......just because you live your own life.....
 
Wazazi wa kiume hasa ndo wenye mambo ya kibabe na ukorofi, atataka akupande kichwani no matter wewe tayari upo independent and you have your own family, ndo maana watoto wa kiume mara nyingi huwa hawaelewani na baba zao..........mara nyingi wazee wa namna hii huwa ni wale walioishi irresponsible life hadi anazeeka anakuwa hana investment yoyote and sometimes they re-marry at an old age. Then what they remain with is to blame everyone from morning to evening......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…