Wazazi waonesha cheti cha kuzaliwa mtoto wao anaitwa FISTON MAYELE, wakutana na MAYELE original wapiga naye picha

Ni kawaida ya Mashabiki wa Yanga kushobokea wachezaji Kupita kiasi wala sishangai. Na hii ndo huwa inawafanya mchezaji akisajiliwa na timu nyingine wanamchukia hadi kuchoma jezi , kukata rufaa CAS n.k.

Kama watu na ndevu zao wanaomba mayele awatie mimba wamzalie mtoto, unategemea nini hapo?

Na atawatia mimba kweli Mashabiki wa Yanga . Endeleeni kujirahisi kihivyo.
 
Hapo hesabu ni ndogo sana.

mpaka huyo mtoto akiwa mkubwa tayari Mayele atakua keshahamia Msimbazi.mtoto atajikuta anakua Mwanasimba moja kwa moja kwa kumfata wa jina lake alipo.
Siku hazigandi na Dunia inazunguka.

tehe,,,tehe,,,tehe[emoji23][emoji28]
 
Lazima tujue shida ipo kwetu wenyewe.
 
Nyie makolo si mnadai mayele ni mchezaji wa kawaida how leo hii unaota ipo siku mtamsajili mchezaji wa kawaida!?
 
Mfumo wa majina matatu ndio upi huo? Mtanzania anatumia majina yake yote aliyosajili.

Ukiwaona, Ramadhani, Mwinshehe Ditopile Mzuzuri.
Huo ni ushamba, mfumo wa serikali ni majina matatu. Sasa mtu anaanza kuorodhesha majina ya mababu zake halafu anajitamba kuwa ana majina mengi? Nani ambaye kizazi cha ukoo wake kimeanza leo, hivyo kila mtu anaweza kuorodhesha majina ya vizazi vya mababu zake mpaka enzi za mitume lakini sio standard ni ushamba na kujimwambafy kwa kujiona exception wakati kila mmoja ana orodha ya watangulizi wengi kwenye ukoo wake
 
Najaribu kuwaza miaka 15 ijayo itakuwaje wakati huo hata huyo mayele watu hawamjui tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…