Wazazi waua mtoto wakigombania cd ya msanii "diamond"

Wazazi waua mtoto wakigombania cd ya msanii "diamond"

uswahilini kuna vituko!!
R.I.P mtoto.
 
Nyimbo zote za kidunia ni mienendo ya shetani.

R.i.p wa jina!!
 
Kifo cha huyo mtoto kimenisikitisha sana, RIP mtoto.
 
Diamond inabidi akamatwe afungwe maisha kwa kusababisha kifo<jokes>.

Daah,inauma kweli.Poleni wafiwa
 
Back
Top Bottom