Wazazi wenye Wachezaji hawa wafuatao wa Yanga SC waonyeni wasikubali kubebeshwa ' Hirizi ' mtawakosa

Kwa taarifa za ndani kabisa ambazo nimehangaika mno kuzinyaka / kuzipata kutoka katika Klabu ya Yanga zinasema kwamba kuna Wachezaji Watatu ambao ni Wakristo inasemekana wanalazimishwa ili wabebe ' Hirizi ' kuweza kuisaidia Yanga SC katika mechi yake na Simba SC tarehe 29 April 2018 kutokana na ' Nyota ' zao Kung'aa.

Wachezaji hao ni:

  1. Kelvin Yondan
  2. Raphael Daud
  3. Gadiel Michael
Nikiwa kama mmoja wa Watu ambao tumeamua kuingia ' chimbo ' ili kuweza kuisaidia Simba SC ishinde siku hiyo natoa ' ONYO ' mapema kwa Wazazi wa hawa Wachezaji tajwa hapo juu kwamba wawawahi na wawazuie kutumika na Yanga SC kubeba ' Hirizi ' kwani kwa tulichokifanya Simba SC hasa Kamati yetu ya Ufundi ( Ushirikina )kuna uwezekano hawa Wachezaji kama kweli wakibeba tusiwe nao tena Ulimwenguni.

Nimetoa ONYO mapema na tusije tukalaumiana tafadhali. Ukiona mpaka GENTAMYCINE najitoa mhanga na kuwa mbele Kukesha kwa Mchina / Uwanja wa Taifa na kufanya mambo ya ' Kufuru ' kwa ajili ya kuipigania Simba SC yangu jua ya kwamba safari hii nimeamua kweli na kilichofanyika kuna Watu hiyo tarehe 29 April 2018 hawataamini kitakachowatokea na si ajabu wanaweza hata wakaiomba TFF wasiwapangie tena kucheza na Simba SC na badala yake kila mechi yao ya Simba SC wakaiomba tu TFF iwape points zao Simba SC.

Kama umekaa hapo na unajishauri au bado hujapata Tiketi yako halafu ni mwana Simba SC fanya upesi / haraka sana wahi kajipatie Tiketi yako ili ushuhudie Kipigo cha ' Karne ' ambacho watakutana nacho Wazee wa Mafuriko na Uogeleaji kitakachowafanya hata wapigane na wafukuzane Klabuni Kwao.

Mpaka muda huu bado naziona Goli / Bao Saba ( 7 ) huku nikiona Wachezaji wawili wa Simba SC wanaoanzia na Majina yenye Herufi E, J na S wakifunga hayo magoli yote ambapo hao E na J watafunga ' hat trick ' na huyo S atafunga 1. Na kwa upande wa pili kwa Kikosi cha Mafuriko na Uogeleaji jijini Dar es Salaam naona Kadi Nyekundu moja kwa Mchezaji mwenye jina linaloanzia na herufi K au R na kuna uwezekano Watu zaidi ya 500 wakazimia Kesho wote wakitokea upande wa watakaofungwa hivyo nitoe tu RAI yangu mapema kwa Red Cross Tanzania kwamba waanze kupasha moto miili yao kwani hiyo Siku watakuwa na Kazi ya ziada kuwaokoa Watu pale kwa Mchina / Uwanja wa Taifa.

Nawasilisha.

Wazee wa kulogaa ? Mkuu we hatari Nimeona vitu yako kwa mchina Léo.
Kilichofanyika na ' Majini ' tuliyoyatumia hilo ulilolisema laweza kutokea Mkuu kama wasipokuwa makini na kuchukua huu ushauri wangu na kama uko karibu na Wazazi wa hao Wachezaji waambie wawaambie wasikubali kubebeshwa ' Hirizi ' kwani Mimi mwenyewe niliyeko katika Kamati naogopa sasa Wao itakuwaje? Una Kifua Mkuu? Kama unacho nakuomba leo usiku Saa 5 njoo Uwanja wa Taifa upande ule kama unaenda Indoor Stadium uone nini kitafanyika ndipo utajua kuwa safari hii ' Mnyama ' hatutanii na hatuna utani na Mtu iwe jua iwe mvua tarehe 29 April 2018 lazima Wazee wa Mafuriko na Uogeleaji ' wazikoge ' nyingi sana hadi watuamkie Shikamoo.
 
Attachments

  • IMG_1524936423618.jpg
    IMG_1524936423618.jpg
    20 KB · Views: 28
Kwa taarifa za ndani kabisa ambazo nimehangaika mno kuzinyaka / kuzipata kutoka katika Klabu ya Yanga zinasema kwamba kuna Wachezaji Watatu ambao ni Wakristo inasemekana wanalazimishwa ili wabebe ' Hirizi ' kuweza kuisaidia Yanga SC katika mechi yake na Simba SC tarehe 29 April 2018 kutokana na ' Nyota ' zao Kung'aa.

Wachezaji hao ni:

  1. Kelvin Yondan
  2. Raphael Daud
  3. Gadiel Michael
Nikiwa kama mmoja wa Watu ambao tumeamua kuingia ' chimbo ' ili kuweza kuisaidia Simba SC ishinde siku hiyo natoa ' ONYO ' mapema kwa Wazazi wa hawa Wachezaji tajwa hapo juu kwamba wawawahi na wawazuie kutumika na Yanga SC kubeba ' Hirizi ' kwani kwa tulichokifanya Simba SC hasa Kamati yetu ya Ufundi ( Ushirikina )kuna uwezekano hawa Wachezaji kama kweli wakibeba tusiwe nao tena Ulimwenguni.

Nimetoa ONYO mapema na tusije tukalaumiana tafadhali. Ukiona mpaka GENTAMYCINE najitoa mhanga na kuwa mbele Kukesha kwa Mchina / Uwanja wa Taifa na kufanya mambo ya ' Kufuru ' kwa ajili ya kuipigania Simba SC yangu jua ya kwamba safari hii nimeamua kweli na kilichofanyika kuna Watu hiyo tarehe 29 April 2018 hawataamini kitakachowatokea na si ajabu wanaweza hata wakaiomba TFF wasiwapangie tena kucheza na Simba SC na badala yake kila mechi yao ya Simba SC wakaiomba tu TFF iwape points zao Simba SC.

Kama umekaa hapo na unajishauri au bado hujapata Tiketi yako halafu ni mwana Simba SC fanya upesi / haraka sana wahi kajipatie Tiketi yako ili ushuhudie Kipigo cha ' Karne ' ambacho watakutana nacho Wazee wa Mafuriko na Uogeleaji kitakachowafanya hata wapigane na wafukuzane Klabuni Kwao.

Mpaka muda huu bado naziona Goli / Bao Saba ( 7 ) huku nikiona Wachezaji wawili wa Simba SC wanaoanzia na Majina yenye Herufi E, J na S wakifunga hayo magoli yote ambapo hao E na J watafunga ' hat trick ' na huyo S atafunga 1. Na kwa upande wa pili kwa Kikosi cha Mafuriko na Uogeleaji jijini Dar es Salaam naona Kadi Nyekundu moja kwa Mchezaji mwenye jina linaloanzia na herufi K au R na kuna uwezekano Watu zaidi ya 500 wakazimia Kesho wote wakitokea upande wa watakaofungwa hivyo nitoe tu RAI yangu mapema kwa Red Cross Tanzania kwamba waanze kupasha moto miili yao kwani hiyo Siku watakuwa na Kazi ya ziada kuwaokoa Watu pale kwa Mchina / Uwanja wa Taifa.

Nawasilisha.
Mkuu kwa jinsi ninavyokufahamu na kukuheshimu this is too low for you. Please next time usilete vitu vya namna hii kwenye forum hii. Samahani lakini!!!
 
IVO MAPUNDA.

MKATOLIKI WAKUTUPWA. ALIYAONA HAYA NDA YA WIKI 3 ALIZOCHRZEA SIMBA SC.
IMG_20180429_075436.jpg
 
Una uhakika kwamba huko Ulaya hawarogi? Ni mara ngapi tumeshudia Mipaka Shume ikikatiza bila aibu katika mechi za Arsenal, Bayern na hata Barcelona? Wale Nguchiro nao huwa wanatokea wapi? Acheni Unafiki hapa.
Ila si tumezidi
 
Kwa taarifa za ndani kabisa ambazo nimehangaika mno kuzinyaka / kuzipata kutoka katika Klabu ya Yanga zinasema kwamba kuna Wachezaji Watatu ambao ni Wakristo inasemekana wanalazimishwa ili wabebe ' Hirizi ' kuweza kuisaidia Yanga SC katika mechi yake na Simba SC tarehe 29 April 2018 kutokana na ' Nyota ' zao Kung'aa.

Wachezaji hao ni:

  1. Kelvin Yondan
  2. Raphael Daud
  3. Gadiel Michael
Nikiwa kama mmoja wa Watu ambao tumeamua kuingia ' chimbo ' ili kuweza kuisaidia Simba SC ishinde siku hiyo natoa ' ONYO ' mapema kwa Wazazi wa hawa Wachezaji tajwa hapo juu kwamba wawawahi na wawazuie kutumika na Yanga SC kubeba ' Hirizi ' kwani kwa tulichokifanya Simba SC hasa Kamati yetu ya Ufundi ( Ushirikina )kuna uwezekano hawa Wachezaji kama kweli wakibeba tusiwe nao tena Ulimwenguni.

Nimetoa ONYO mapema na tusije tukalaumiana tafadhali. Ukiona mpaka GENTAMYCINE najitoa mhanga na kuwa mbele Kukesha kwa Mchina / Uwanja wa Taifa na kufanya mambo ya ' Kufuru ' kwa ajili ya kuipigania Simba SC yangu jua ya kwamba safari hii nimeamua kweli na kilichofanyika kuna Watu hiyo tarehe 29 April 2018 hawataamini kitakachowatokea na si ajabu wanaweza hata wakaiomba TFF wasiwapangie tena kucheza na Simba SC na badala yake kila mechi yao ya Simba SC wakaiomba tu TFF iwape points zao Simba SC.

Kama umekaa hapo na unajishauri au bado hujapata Tiketi yako halafu ni mwana Simba SC fanya upesi / haraka sana wahi kajipatie Tiketi yako ili ushuhudie Kipigo cha ' Karne ' ambacho watakutana nacho Wazee wa Mafuriko na Uogeleaji kitakachowafanya hata wapigane na wafukuzane Klabuni Kwao.

Mpaka muda huu bado naziona Goli / Bao Saba ( 7 ) huku nikiona Wachezaji wawili wa Simba SC wanaoanzia na Majina yenye Herufi E, J na S wakifunga hayo magoli yote ambapo hao E na J watafunga ' hat trick ' na huyo S atafunga 1. Na kwa upande wa pili kwa Kikosi cha Mafuriko na Uogeleaji jijini Dar es Salaam naona Kadi Nyekundu moja kwa Mchezaji mwenye jina linaloanzia na herufi K au R na kuna uwezekano Watu zaidi ya 500 wakazimia Kesho wote wakitokea upande wa watakaofungwa hivyo nitoe tu RAI yangu mapema kwa Red Cross Tanzania kwamba waanze kupasha moto miili yao kwani hiyo Siku watakuwa na Kazi ya ziada kuwaokoa Watu pale kwa Mchina / Uwanja wa Taifa.

Nawasilisha.

"....ambao ni wakristo..." .....kwani kuna dini nyingine zinaruhusu mambo hayo ya 'hirizi'!!!???? Kuweni makini mnapotoa au kuleta humu 'posts' zenu
 
Kuroga kote huku na mikwara yote hii,tumeshinda kimoko tu? au kn aliyetuhujumu?
 
Hahaha mleta Mada maybe anajua zaidi mkuu,si unaona post ilivyoshiba mbwembwe?
 
Sema mmeshindia uwezo, mna timu nzuri japo sio kiivyooo!
Ingekua ushirikina unafanya kazi basi yanga isingebeba ubingwa mfululizo hadi tumeukinai, tumewaachia na nyie mtambe kidogo,
Sisi nguvu zetu tumewekeza kimataifa zaidi ili tubebe ubingwa wa kombe la shirikisho. Viva Yanga.
 
Kuroga kote huku na mikwara yote hii,tumeshinda kimoko tu? au kn aliyetuhujumu?

Hata Mwanamke ' unamkanyaga / unamfanya / unamngono / unamtindua / unambaioloji ' mabao mengi lakini la Mimba siku zote huwa ni Moja tu na bahati nzuri leo Bao hilo moja la Mimba limetua kwa Mke Wetu Mrs. Yanga SC kupitia Mkuyenge Nyoni.
 
Una uhakika kwamba huko Ulaya hawarogi? Ni mara ngapi tumeshudia Mipaka Shume ikikatiza bila aibu katika mechi za Arsenal, Bayern na hata Barcelona? Wale Nguchiro nao huwa wanatokea wapi? Acheni Unafiki hapa.
Huo mpira unaangalia mwenyewe kwenye tv za beseni huko kilingeni kwako?
Cjawahi ona hata nzi anakatiza mechi za ulaya, hizo ulizoona mipaka ni timu za uswahilini kwako zenye majina ya hizo timu
 
Sema mmeshindia uwezo, mna timu nzuri japo sio kiivyooo!
Ingekua ushirikina unafanya kazi basi yanga isingebeba ubingwa mfululizo hadi tumeukinai, tumewaachia na nyie mtambe kidogo,
Sisi nguvu zetu tumewekeza kimataifa zaidi ili tubebe ubingwa wa kombe la shirikisho. Viva Yanga.

Hii huwa tunaiita ' Sizitaki Mbichi Hizi ' Mkuu.
 
Mi wala ckua na presha, nilivyoona mvua tuu nkajua Mganga wenu mkata ushanga keshafanya yake.
Ila mnaifunga yanga tuu, ila waarabu wanawashinda
 
Back
Top Bottom