Kwa taarifa za ndani kabisa ambazo nimehangaika mno kuzinyaka / kuzipata kutoka katika Klabu ya Yanga zinasema kwamba kuna Wachezaji Watatu ambao ni Wakristo inasemekana wanalazimishwa ili wabebe ' Hirizi ' kuweza kuisaidia Yanga SC katika mechi yake na Simba SC tarehe 29 April 2018 kutokana na ' Nyota ' zao Kung'aa.
Wachezaji hao ni:
Nikiwa kama mmoja wa Watu ambao tumeamua kuingia ' chimbo ' ili kuweza kuisaidia Simba SC ishinde siku hiyo natoa ' ONYO ' mapema kwa Wazazi wa hawa Wachezaji tajwa hapo juu kwamba wawawahi na wawazuie kutumika na Yanga SC kubeba ' Hirizi ' kwani kwa tulichokifanya Simba SC hasa Kamati yetu ya Ufundi ( Ushirikina )kuna uwezekano hawa Wachezaji kama kweli wakibeba tusiwe nao tena Ulimwenguni.
- Kelvin Yondan
- Raphael Daud
- Gadiel Michael
Nimetoa ONYO mapema na tusije tukalaumiana tafadhali. Ukiona mpaka GENTAMYCINE najitoa mhanga na kuwa mbele Kukesha kwa Mchina / Uwanja wa Taifa na kufanya mambo ya ' Kufuru ' kwa ajili ya kuipigania Simba SC yangu jua ya kwamba safari hii nimeamua kweli na kilichofanyika kuna Watu hiyo tarehe 29 April 2018 hawataamini kitakachowatokea na si ajabu wanaweza hata wakaiomba TFF wasiwapangie tena kucheza na Simba SC na badala yake kila mechi yao ya Simba SC wakaiomba tu TFF iwape points zao Simba SC.
Kama umekaa hapo na unajishauri au bado hujapata Tiketi yako halafu ni mwana Simba SC fanya upesi / haraka sana wahi kajipatie Tiketi yako ili ushuhudie Kipigo cha ' Karne ' ambacho watakutana nacho Wazee wa Mafuriko na Uogeleaji kitakachowafanya hata wapigane na wafukuzane Klabuni Kwao.
Mpaka muda huu bado naziona Goli / Bao Saba ( 7 ) huku nikiona Wachezaji wawili wa Simba SC wanaoanzia na Majina yenye Herufi E, J na S wakifunga hayo magoli yote ambapo hao E na J watafunga ' hat trick ' na huyo S atafunga 1. Na kwa upande wa pili kwa Kikosi cha Mafuriko na Uogeleaji jijini Dar es Salaam naona Kadi Nyekundu moja kwa Mchezaji mwenye jina linaloanzia na herufi K au R na kuna uwezekano Watu zaidi ya 500 wakazimia Kesho wote wakitokea upande wa watakaofungwa hivyo nitoe tu RAI yangu mapema kwa Red Cross Tanzania kwamba waanze kupasha moto miili yao kwani hiyo Siku watakuwa na Kazi ya ziada kuwaokoa Watu pale kwa Mchina / Uwanja wa Taifa.
Nawasilisha.

Wazee wa kulogaa ? Mkuu we hatari Nimeona vitu yako kwa mchina Léo.
Kilichofanyika na ' Majini ' tuliyoyatumia hilo ulilolisema laweza kutokea Mkuu kama wasipokuwa makini na kuchukua huu ushauri wangu na kama uko karibu na Wazazi wa hao Wachezaji waambie wawaambie wasikubali kubebeshwa ' Hirizi ' kwani Mimi mwenyewe niliyeko katika Kamati naogopa sasa Wao itakuwaje? Una Kifua Mkuu? Kama unacho nakuomba leo usiku Saa 5 njoo Uwanja wa Taifa upande ule kama unaenda Indoor Stadium uone nini kitafanyika ndipo utajua kuwa safari hii ' Mnyama ' hatutanii na hatuna utani na Mtu iwe jua iwe mvua tarehe 29 April 2018 lazima Wazee wa Mafuriko na Uogeleaji ' wazikoge ' nyingi sana hadi watuamkie Shikamoo.